Nauliza tu hivi wale wachezaji waliopiga picha na mama zao tu baada ya ushindi wa Senegal, baba zao wanakuwaga wapi?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.

Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.

Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?

Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
 
Mkuu wewe ni zamani, umenizidi miaka 3 JF. Mbona umekuwa na spelling mistakes nyingi?
Nini tatizo?
 
SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.

Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.

Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?

Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
Ili jinga mpaka leo halijui kuandika!!
 
Baba si mpaka apime DNA?

Kuna hotuba moja ya Nyerere alisema Wazanaki mtoto anarithi mali ya mjomba.

Kwa sababu mjomba yule, kuna mstari wa moja kwa moja kati ya mjomba na mtoto.

Mjomba kazaliwa kama kaka wa mama, wamezaliwa mama mmoja. Mama kazaa mtoto.

Hivyo mjomba anajulikana.

Ila Baba, utajuaje huyu ndiye baba wa mtoto?
 
Mpwa hiyo ni asili ya sisi kukataliwa mpwa ,haina namna .
Nilifika ukwamani majuma kadhaa nyuma sijakuona mpwa ,anyway salimia familia sema kheri ya mwaka mpya kaka
 
SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.

Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.

Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?

Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
Wengi baba zao wamefariki kwa magonjwa au uzee. Hao wachezaji wa kiafrika wengi wanatoka kwenye maisha duni.

Pia kuna ile kasumba ya wanaume kutopenda sana spotlight kama wanawake mfano baba yake osmane dembele, ni nadra sana kumuona au kumsikia, hata siku mwanae anachukua Ballon dior mzee akuwepo ukumbini, lakini mama mtu yupo kwenye press conference ya mtoto
 
Back
Top Bottom