Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
AiseeeUlevi
AiseeeUlevi
Pdidy ndio ID yake anayoitumia toka kitambo.Toka kitambo sana Jf ila amekuwa kama babukijana .
ID yake nimeijua miaka ya karibuni nilidhani ni mgeni au Zamani hakuwa alitumia jina la Pdidy
unajua umri ukiwa umeenda kinamna flani hiv halafu ukiwa unatia gambe lazima upoteze networkAiseee
Sio kwelunajua umri ukiwa umeenda kinamna flani hiv halafu ukiwa unatia gambe lazima upoteze network
AJAKUTANA NA AI ENZI HIZO NIKO NATECHNO NANULIWA SAMSUNG SIJUI INFINX NAUZA NABAKI NA AI YANGU PHONE POLEPOLE [SIONWANASIASA]ATAKAA SAWAMkuu kwa tunaomjua Pdidy toka kitambo,siku hizi ameimprove sana uandishi wake,
Wengine tulisha mzowea.
Weekend wapi bwasheeBwashee ni mzungu huyu na mda wote tupo nae bar tunagonga vyombo Pdidy
😄 🤣 😂 😆 😄 mpwa si unajua wake zao leo marejesho wana AS A..BRAC..VIKOY NA SASA KAUSHA INI SIO BLOOD NDIO KABISA mawazoo..tuwqkaribishe sehemu siku moja wasatishe dhambi zaoMsamehe huyu ndugu.wazazi wake wameathirika na game acha apambane naooo
Sure nina uhakika ni nilichokisemaSio kwel
Leo nina vodka ya kupambana nayo hapa home tu bwasheeWeekend wapi bwashee
Kaziiendelee
Wafu wazike wafuuwaoo
😄 🤣 😂 😆 😄 mpwa si unajua wake zao leo marejesho wana AS A..BRAC..VIKOY NA SASA KAUSHA INI SIO BLOOD NDIO KABISA mawazoo..tuwqkaribishe sehemu siku moja wasatishe dhambi zao
Unatuonea wivu masterSure nina uhakika ni nilichokisema
alie elewa hapa anatafsirie pleaseAJAKUTANA NA AI ENZI HIZO NIKO NATECHNO NANULIWA SAMSUNG SIJUI INFINX NAUZA NABAKI NA AI YANGU PHONE POLEPOLE [SIONWANASIASA]ATAKAA SAWA
QJI TTAHIDI KWENYE MANUIZI UKINUIA UNAWEZA HA 😄 🤣 😂 😆 😄 MIN ME WAPI NISHAANZA WEEKEND MBEZIBILA
sio wivu me mwenyw niko somewhere since morning natia vitu taratibu,Unatuonea wivu master
Tatizo uzungu mwingi akishusha kiinglishi hakosei kama kimatumbi bwasheesio wivu me mwenyw niko somewhere since morning natia vitu taratibu,
au jamaa ako anakunywa pombe kabla hajala?
Tia vitu mbavuni mastersio wivu me mwenyw niko somewhere since morning natia vitu taratibu,
au jamaa ako anakunywa pombe kabla hajala?
Kata nyama ya mbavu au ya mguu wa paja bwasheeHio n njema bwashee wangu
Wato to wasije tuitaa mjomba
Hata mm napanga kuwahi kidogo ni hii nyama ghali kuliko inanichelewesha kuiva hapa pub
Ngroongrooongrooo. Na jaziaa na haka ka Dube kadogo nipumxike nisubiri waarabu bwashee wakitunyooshaa
we mzee ni fala😁😁 nikisema sahivi uko vibe ushawaka unanimind ona umesema mwenyewe uko pubHio n njema bwashee wangu
Wato to wasije tuitaa mjomba
Hata mm napanga kuwahi kidogo ni hii nyama ghali kuliko inanichelewesha kuiva hapa pub
Ngroongrooongrooo. Na jaziaa na haka ka Dube kadogo nipumxike nisubiri waarabu bwashee wakitunyooshaa
atumie ngeli sasa tumuelewe ausio bhanaTatizo uzungu mwingi akishusha kiinglishi hakosei kama kimatumbi bwashee