Nauliza tu hivi wale wachezaji waliopiga picha na mama zao tu baada ya ushindi wa Senegal, baba zao wanakuwaga wapi?

Nauliza tu hivi wale wachezaji waliopiga picha na mama zao tu baada ya ushindi wa Senegal, baba zao wanakuwaga wapi?

hizo ndoo style zangu bwashee
Ikifika Feb ntaanza kula mambupu yao matamu sana wakichomavizuri
 
Pdidy ni uzee au macho yanakusumbua
Tunatumia nguvu kubwa sana kuelewa unachokiandika.

By the way shikamoo mzee.
 
SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.

Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.

Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?

Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
Ni watoto wa masingo maza
 
Mimimwalimu wangu wa mwandiko alikua anatuchapa na ruler kwenye vidole,swala la mwandiko wangu ni juhudi zangu mwenyewe,sifa pekee anayostahili ni kutuchapa
 
Mkuu wewe ni zamani, umenizidi miaka 3 JF. Mbona umekuwa na spelling mistakes nyingi?
Nini tatizo?
Huyu jamaa inawezekana ni mlevi.

Ukiona uzi huuelewi vizuri jua kavesha, ila baada ya muda pombe zikiisha atakuja atarekebisha na kila kitu kitasomeka vizuri.
 
Hao wachezaji wakishakuwa na familia na watoto wao wakaanza kuegemea upande wa mama, hukaa chini na kujutia ubaguzi walioufanya. Muda wa kurekebisha unakuwa haupo na mzunguko unakuwa unaendelea.
 
Back
Top Bottom