Mkuu wewe ni zamani, umenizidi miaka 3 JF. Mbona umekuwa na spelling mistakes nyingi?SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.
Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.
Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?
Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
Ili jinga mpaka leo halijui kuandika!!SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.
Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.
Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?
Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
Mnara huyo!Mkuu wewe ni zamani, umenizidi miaka 3 JF. Mbona umekuwa na spelling mistakes nyingi?
Nini tatizo?
MIAKA.3 TU??UNAJUA KUSOMA VIZURI
Na miezi 2MIAKA.3 TU??UNAJUA KUSOMA VIZURI ID
Nina miaka 15 JF.MIAKA.3 TU??UNAJUA KUSOMA VIZURI ID
Baba si mpaka apime DNA?SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.
Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.
Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?
Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
Mkuu kwa tunaomjua Pdidy toka kitambo,siku hizi ameimprove sana uandishi wake,Mkuu wewe ni zamani, umenizidi miaka 3 JF. Mbona umekuwa na spelling mistakes nyingi?
Nini tatizo?
Wengi baba zao wamefariki kwa magonjwa au uzee. Hao wachezaji wa kiafrika wengi wanatoka kwenye maisha duni.SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.
Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo.
Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu kwenye mafanikio ya watoto wao?
Nashauri kuanzishwe:
CHAMA CHA WABABA WA WACHEZAJI WA MPIRA AFRIKA.
Muanze kudai haki zenu kabisa
Hii I'd ilikuwa ina andika maandiko yenye akili bila spelling mistakes sijui karithishwa mtoto wake? 🤣Mkuu wewe ni zamani, umenizidi miaka 3 JF. Mbona umekuwa na spelling mistakes nyingi?
Nini tatizo?
Ulevi uliopindukiaMkuu wewe ni zamani, umenizidi miaka 3 JF. Mbona umekuwa na spelling mistakes nyingi?
Nini tatizo?
UleviHii I'd ilikuwa ina andika maandiko yenye akili bila spelling mistakes sijui karithishwa mtoto wake? 🤣
Toka kitambo sana Jf ila amekuwa kama babukijana .Mkuu kwa tunaomjua Pdidy toka kitambo,siku hizi ameimprove sana uandishi wake,
Wengine tulisha mzowea.
Kama Mwachiluwi mistakes nyingi sana kwenye uandishi waoHii I'd ilikuwa ina andika maandiko yenye akili bila spelling mistakes sijui karithishwa mtoto wake? 🤣