Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
CCM ni chama cha kuondoa umasikini, maendeleo na ukombozi wa wanyonge.Wapigaji , sasa tunajiuliza ccm haitaki tena watu wa vijijini ?
Itakuwaje sasa ?
View attachment 2955202
Zaidi ya miaka 60 wameshindwa kuondoa huo umasikiniCCM ni chama cha kuondoa umasikini, maendeleo na ukombozi wa wanyonge.
Watoto wa mjini wao upigaji ndio ujanja kwao.Wanajiita watoto wa mjini huku wakitegemea teuzi na sio kutumia akila zao za mjini kumfikia azam,Mo kibiashara
Ila kinataka viongozi wawe watoto wa Mjini !CCM ni chama cha kuondoa umasikini, maendeleo na ukombozi wa wanyonge.
Hili kundi la Sasa ni sehemu ya mivutano ndani ya ccm kati ya bush stars wa sukuma gang, vs born town wa msoga gang.Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha.
Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi.
Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini.
Sasa CCM inaweza kutupa mwongizo, kwa sera zake kuwa matoto wa mjini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo ya jamii na 4R za mama Samia.
Nipate jibu, la sivyo narudi shamba kulima tu!
Napata wasi wasi na sera hizi za watoto wa mjini!Wale wapigaji,mafisadi na wahujumu uchumi wa awamu ya nne ndiyo siku hizi wanajiita watoto wa mjini
Sijaridhika na hili!Watoto wa mjini wao upigaji ndio ujanja kwao.
Inabidi Mam Saia atoe kauli ya kuondoa utata huu, ama sivyo mkeka utalazimika kuwa ndani ya wiki tatu zijazo!Naamini Mwenyekiti Samia hajapenda kauli zao!
CCM ya sasa ina watu waliofilisika kichwani. Kila kiongozi anawaza ni jinsi gani wataiba kura kwenye chaguzi badala kufikiria ni jinsi gani watatua changamoto zinazolikabili taifa na wananchi wake. Wanatafuta ushindi wa kimjini siyo, na si kunadi sera zao wananchi waendelee kuwaamini.Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha.
Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi.
Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini.
Sasa CCM inaweza kutupa mwongozo, kwa sera zake kuwa matoto wa mijini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo ya jamii na 4R za mama Samia.
Nipate jibu, la sivyo narudi shamba kulima tu!
Mkuu si unajua mishen taun ni watu gani? Tumekabidhi fisi buchaNapata wasi wasi na sera hizi za watoto wa mjini!