Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha.
Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi.
Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini.
Sasa CCM inaweza kutupa mwongozo, kwa sera zake kuwa matoto wa mijini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo ya jamii na 4R za mama Samia.
Nipate jibu, la sivyo narudi shamba kulima tu!