Nauliza tu, watoto wa mujini ndio sera zipi za CCM?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha.

Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi.

Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini.

Sasa CCM inaweza kutupa mwongozo, kwa sera zake kuwa matoto wa mijini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo ya jamii na 4R za mama Samia.

Nipate jibu, la sivyo narudi shamba kulima tu!
 
Wapigaji , sasa tunajiuliza ccm haitaki tena watu wa vijijini ?

Itakuwaje sasa ?

IMG-20180405-WA0006.jpeg
 
Wale wapigaji,mafisadi na wahujumu uchumi wa awamu ya nne ndiyo siku hizi wanajiita watoto wa mjini
 
Sio wakulima na wafanyakazi tena sasahivi ni watoto wa mjini walozeeka!!
Polepole alisema kataa wahuni
 
Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha.

Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi.

Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini.

Sasa CCM inaweza kutupa mwongizo, kwa sera zake kuwa matoto wa mjini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo ya jamii na 4R za mama Samia.

Nipate jibu, la sivyo narudi shamba kulima tu!
Hili kundi la Sasa ni sehemu ya mivutano ndani ya ccm kati ya bush stars wa sukuma gang, vs born town wa msoga gang.
 
Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha.

Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi.

Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini.

Sasa CCM inaweza kutupa mwongozo, kwa sera zake kuwa matoto wa mijini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo ya jamii na 4R za mama Samia.

Nipate jibu, la sivyo narudi shamba kulima tu!
CCM ya sasa ina watu waliofilisika kichwani. Kila kiongozi anawaza ni jinsi gani wataiba kura kwenye chaguzi badala kufikiria ni jinsi gani watatua changamoto zinazolikabili taifa na wananchi wake. Wanatafuta ushindi wa kimjini siyo, na si kunadi sera zao wananchi waendelee kuwaamini.
 
Back
Top Bottom