X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,989
- 17,113
Huu uchokozi sasaKazi ya kuchinja miaka yote inajulikana wanachinja waislamu.
Huu uchokozi sasaKazi ya kuchinja miaka yote inajulikana wanachinja waislamu.
Mbezi ya Morogoro Road kuna kituo kinaitwa Kibanda cha Mkaa katikati ya Kwa Musuguri na Mbezi MwishoAkila mtu kitimoto muheshimukwanza ana ongezq upakooo
Hapo lazima nije kutembelea nikirudi mjini.Mbezi ya Morogoro Road kuna kituo kinaitwa Kibanda cha Mkaa katikati ya Kwa Musuguri na Mbezi Mwisho
Kuna machinjio kila siku wanachinja hapo karibu tu na kituoni
🤣🤣 Kwani uongo mkuu?Huu uchokozi sasa
Asante SheheNenda Kimara na Mbezi.
Morogoro road ila msimu huu wachaga wengi wanaenda kuhesabiwa Moshi sijui nani atachinja kitimoto.??
Huo utaratibu ni wa zamani sana, wanachinjwa kama kawaida.Kitimoto hachinjwi bali anapigwa rungu la kichwa kabla ya kuchinjwa..
Kwahyo hakuna machinjio ya kitimoto inchini bali Kuna sehemu kitimoto wanapouwawa.
Kwa shingo ipi?Huo utaratibu ni wa zamani sana, wanachinjwa kama kawaida.
Mkuu uko serious au ni masikhara unaleta 🤣Kwa shingo ipi?
Seriously mkuu, kitimoto hachinjwi bali ni nyundo ya kichwa akishauwawa ndy sasa anachinjwa.Mkuu uko serious au ni masikhara unaleta 🤣
Mbona samaki wanaleletwa wakiwa vibudu na hamsemi 🤣
Tatizo ni shingo ya kupiga hilo panga ipo wapi?mwandende hapo juu kuna machinjio nimeelezea niliwahi kufika miaka kama miwili iliyopita kununua nyama.
Ilikuwa ni sikukuu fulani watu walikuwa wakigombania sana nyama.
Jamaa mmoja ananifahamu lkn anafahamiana na wafanyakazi pale akaniuliza kiasi nachotaka akaniambia tuzunguke huku maana vurugu zilikuwa za kutosha.
Nilishuhudia mwenyewe zaidi ya nguruwe wanne wakichinjwa tena kisu kinapita haraka kuliko hata ng'ombe.
Wanamshika wanapitisha kisu kikubwa karibia kama panga mara mbili tu kichwa kipo upande mwingine wanamwacha hapo chini anatapataka hadi anakata moto.
Hakuna cha nyundo wa nondo inatumika.
Kwanza machinjio niliyotaja ni ya kisasa wanauza nyama jumla na rejareja pili ukipata wasaa unaweza kwenda kushuhudia mwenyewe,Tatizo ni shingo ya kupiga hilo panga ipo wapi?
Mwenye ushahidi kuonyesha kitimoto anachinjwa aweke hapa tafadhali.
Hiyo ni bucha ukiweka unapata cheza nao wachina wahuni tu kama serikali ya mbogamboga😃😃😃😃tafuta kama kumi watano hivi Halaf unaweka bei ya wahindi si unajua muhindi yeye anataka faida mdogo mzigo utoke haraka?! Af wakishakolea unabadilishia gia hewani🫣🐷🐷🐷Kumbe nikiweka mradi wangu Bagamoyo pesa ipo? Au wenyewe wananunua maeneo yakufugia tayari?
Basi hakuna tofauti ya kitimoto na samaki wote ni vibudu 🤣🤣Seriously mkuu, kitimoto hachinjwi bali ni nyundo ya kichwa akishauwawa ndy sasa anachinjwa.
Zipo video kibao hata huko ulaya ni mwendo wa nyundo tu.
Ukiwezakuchinja kitimoto basi na samaki pia utachinja.
Hao wote samaki na kitimoto hawana shingo..
Samaki hachinjwi ila hana shingo kama kitimotoBasi hakuna tofauti ya kitimoto na samaki wote ni vibudu 🤣🤣
Samaki hachinjwi ila hana shingo kama kitimoto