Naulizia machinjio ya kitimoto Jijini Dar es Salaam

View attachment 3459145
Sasa mkuu unaposema nguruwe Hana shingo sijui nguruwe wa wapi unaozungumzia
🤣🤣🤣 Manaa nguruwe ninaowajua mimi Wana shingo vizuri tu kama huyo wa kwenye picha
Nini kilipelekea nguruwe wawe wanapigwa nyundo kichwani.
Wakishazirai au kufa ndy wanachinjwa?
Ni sababu ya umbile la kichwa na kiwiliwili kilivyo...
Lazima ale nyundo kwanza,
Angalia wanyama wengine wote walivyo halafu mwangalie ngurue utaona tofauti ya shingo na mabega.
 
Wenyeji wa kigoma, naomba mnisaidie pia nikachukue mzigo kama kilo 10 hivi.
 
Kigoma kubwa mkuu. Uko mjini au kwenye wilaya zake.
Miaka ile nikiwa mdogo kitimoto ya jero na ugali wa lowe mtu ulikuwa unakula mpaka basi.
Kipindi hicho nguruwe wanatolewa milimani kule wanapokaa wakimbizi 🤣
Nguruwe anatembezwa hata kilomita 20 🤣 walikuwa wakifika mtaani kwetu basi wanakuta tumendaa maji kwa ajili ya kummwagia nguruwe maana unakuta Nguruwe yuko hoi.
Ukilimwagia maji kidogo linakuwa na nguvu🤣
bila shaka huo mfumo umekufa maana bodaboda zipo.
Najiuliza pia kwanini hawakuwa wanamchinja huko huko wabebe nyama tu badala ya kumkokota kitimoto kilomita 15 kwa miguu 🤣
 
Kigoma mjini
 
Nimeiona shingo ya kitimoto leo, nilikuwa machinjioni. Asanteni waungwana
 
Kilo 5 kwa ajili ya waungwana nyumbani. Asante JF, asanteni mods, asante Max, asante thread starter, mboga iko jikoni.
 
Huko machinjion kilo shngap?? Nataka nikaangalie mzigo wa kuweka kwenye friji
 
Back
Top Bottom