Nini kilipelekea nguruwe wawe wanapigwa nyundo kichwani.View attachment 3459145
Sasa mkuu unaposema nguruwe Hana shingo sijui nguruwe wa wapi unaozungumzia
🤣🤣🤣 Manaa nguruwe ninaowajua mimi Wana shingo vizuri tu kama huyo wa kwenye picha
Okay, asante mkuu.Nimefika leoBOKO Magengeni uelekeo Burumawe
Hali ikoje mkuu 🤣Okay, asante mkuu.Nimefika leo
Kumechangamka sana mkuu.Hali ikoje mkuu 🤣
Tumia VPN mbona SimpleDah nitaumiss sana huu uzi siku 90
Dah kumbe kifungo kiko hivi nilijua kama kile cha 2016/17, wengi tukahamia JamiiForums.comTumia VPN mbona Simple
Kigoma kubwa mkuu. Uko mjini au kwenye wilaya zake.Wenyeji wa kigoma, naomba mnisaidie pia nikachukue mzigo kama kilo 10 hivi.
Njia panda ya chuo Kwa mteiYapo kibao, karibu na Chuo kikuu upande wa chini, na magengeni Bulumaww
Kigoma mjiniKigoma kubwa mkuu. Uko mjini au kwenye wilaya zake.
Miaka ile nikiwa mdogo kitimoto ya jero na ugali wa lowe mtu ulikuwa unakula mpaka basi.
Kipindi hicho nguruwe wanatolewa milimani kule wanapokaa wakimbizi 🤣
Nguruwe anatembezwa hata kilomita 20 🤣 walikuwa wakifika mtaani kwetu basi wanakuta tumendaa maji kwa ajili ya kummwagia nguruwe maana unakuta Nguruwe yuko hoi.
Ukilimwagia maji kidogo linakuwa na nguvu🤣
bila shaka huo mfumo umekufa maana bodaboda zipo.
Najiuliza pia kwanini hawakuwa wanamchinja huko huko wabebe nyama tu badala ya kumkokota kitimoto kilomita 15 kwa miguu 🤣
Unakula kitu Haram sheikh 😭Kilo 5 kwa ajili ya waungwana nyumbani. Asante JF, asanteni mods, asante Max, asante thread starter, mboga iko jikoni.
Muungwana mimi imani yangu inaruhusu na nailia ndaniUnakula kitu Haram sheikh 😭