Naumia, nami ni binadamu

Nimejikuta natokwa na machozi. Mungu akufanyie muujiza Aggy. Wewe ni wa juu tu,haya unayopitia Mungu alishakuandikia kabla hata hujazaliwa,kwenye dini yangu tunaita MAKADIRI.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhenga wangu bwana.. Siwezi enea bana tafuta pengine pa kuniwekaa
Basi nikupe Uhuru wa kuchagua si unajua mambo ya democracy 🤔🤔🤔 usije kuniambia nimekuteka bure...jiteke mwenyeeeewe.
 
Mara nyingi wanaotoa misaada huwa wanaamini wanachakukudai na wako radhi kukuambia chochote wanachotaka na watataka uwatii, sio uungwana, sijasoma comment zote mpaka mwisho lakini kama kunawanaume mmemsaidia member halafu na nyie mnakuwa sehemu ya kumnyima amani kwa namna yoyote ile sio sawa kabisa, mi naamini Aggyjay kunamengine hajasema hapa maana kaongea kiukomavu sana, em mpeni relief mwenzenu. Tenda wema nenda zako usingoje shukrani, shukrani anatoa Mungu baada ya msaidiwaji kukuombea kwa msaada uliomfanyia.
 

I must have been living under a rock Brother!!
 
Asante dina

Halaf kuwa makini sana na Wakaka wanaokufata pm kukuambia sijui oooh wanatoa chati zako wanapeleka matokeo ndio haya watu wengine ndio walivyo kujipendekeza utadhani atapewa Visa

Marufuku kujiona mnyonge humu watakukula kichwa kuwa mbabe aggy usibabaishwe na mtu humu iwe kweli sio kweli wanyee tu
 
Pole sana Aggy,usirudishe pesa itakuwa kama umepungukiwa busara.
Nikusahuri,kama huna moyo usipende kuandika uzi za kuelezea personal life zako humu na majanga yako ya kimahaba au kifamilia;wengi hutumia kama silaha za maangamizi pindi mkipishana.
Kuomba msaada sio jambo baya pia ila story za maisha yako keep away from the public forum kama JF.Wenzio wajanja wana history za aibu kweli kweli washaomba moderators wazinyofoe waweza fanya hivyo pia,wengi wamefanya.
Pia naona una moyo mwepesi sana,gangamala utateseka sana ukiwa hivyo,dunia haina huruma mama.
Pia huyo mwanamme mmbeya hapo juu ndo amechangia sana wewe kuingia katika mtafaruku usio na sababu.Kuna mijanamme mimbeya sana sana.Wanasema wanawake wambeya ila janaume likiwa chonganishi mbeya kweli kweli huwa halishikiki.
Pole.
 
I got u ..ntazingatia hilo
 
Asante mkuu.mwangaza umekaribia
Nimejikuta natokwa na machozi. Mungu akufanyie muujiza Aggy. Wewe ni wa juu tu,haya unayopitia Mungu alishakuandikia kabla hata hujazaliwa,kwenye dini yangu tunaita MAKADIRI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…