Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hiyo hela anayodaiwa ntalipa
Sh ngap kwan we aggy [emoji41][emoji41][emoji36]
Hakuna kulipa twende kule kwa nasu umpe laki tano sio kutoa maneno tupu tu shenzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hela anayodaiwa ntalipa
Sh ngap kwan we aggy [emoji41][emoji41][emoji36]
Basi sawa, usifanye damu iyende mbio kama imefungwa engine, kumbe mtu hutoshei😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ambia hiyo ventrico ipitishe damu sakayo ni mnono sana
Nasu ndo nani ? !Hakuna kulipa twende kule kwa nasu umpe laki tano sio kutoa maneno tupu tu shenzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi sawa, usifanye damu iyende mbio kama imefungwa engine, kumbe mtu hutoshei[emoji23][emoji23][emoji23]
Shenzee ndo nini pia mkuu wangu ?Hakuna kulipa twende kule kwa nasu umpe laki tano sio kutoa maneno tupu tu shenzee
Aiseeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wewe na Mimi ndo hatujui mkuu
Basi nikupe Uhuru wa kuchagua si unajua mambo ya democracy 🤔🤔🤔 usije kuniambia nimekuteka bure...jiteke mwenyeeeewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhenga wangu bwana.. Siwezi enea bana tafuta pengine pa kuniwekaa
Hii Mada imenivutia kuja huku mkuu@Cole WilliamsMlevi mmoja naona upo
Toka hapaShenzee ndo nini pia mkuu wangu ?
Nakumbuka kusoma nasaha zako zile.
Kipindi hicho nilikuwa likizo hapa JF.
Huyu mwanzishaji wa hii mada alianzisha mada mbili.
Ya kwanza ilikuwa kumhusu ‘bebi’ wake ambaye alikuwa hapokei simu zake, nk.
Ya pili ikawa ni mrejesho wa hiyo mada ya kwanza.
Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa.
Baada ya hiyo mada kuanzishwa na watu kuanza ku guess mhusika ni nani, nikaanza kutafutwa nje ya JF.
Nikaanza kuulizwa ‘we Ngabu umemfanya nini huyo mtu?’ Maana anakuongelea huko JF.
Nikashangaa sana. Ananiongelea huko JF kwa lipi? Kuja kusoma nikabaki nashangaa tu.
Maana mimi sina uhusiano naye. Sijawahi kuwa na uhusiano naye. Sasa iweje awe ananizungimzia mimi?? Sipokei simu zake zipi ilhali hata namba yangu ya simu hana? Nikabaki nashangaa tu.
Baadaye nikatafutwa tena na nikapewa uhakikisho kuwa ni kweli huo uzi ulikuwa unanihusu mimi.
Supposedly, huyo mwanzisha uzi sijui uliwasiliana naye na aka confirm kwako kuwa ni kweli huo uzi wake ulikuwa umenilenga mimi.
Nikapotezea tu kwa sababu hakukuwa na ukweli wowote ule. Zaidi ya kumsaidia tu kiubinadamu, mimi sijawahi kabisa kuwa na uhusiano naye kimapenzi kama alivyoelezea yeye.
Sasa imagine mtu umemsaidia, tena siyo mara moja, halafu anakuja anakuzushia mambo ya ajabu ajabu kabisa yasiyo na mbele wa nyuma.
Nikam- cancel. Nikampuuza kama mwendawazimu.
Sasa naona hapa analalamika. Analalamika nini wakati ulimuonya kipindi kile kuwa this will not end well for her?
Dish limeyumba huyo.
Unless aje akiri hapa kuwa hakuwa ananizungumzia mimi, otherwise I stand by everything I’ve said.
Unanionea bana mhengaBasi nikupe Uhuru wa kuchagua si unajua mambo ya democracy [emoji848][emoji848][emoji848] usije kuniambia nimekuteka bure...jiteke mwenyeeeewe.
Asante dina
Halaf kuwa makini sana na Wakaka wanaokufata pm kukuambia sijui oooh wanatoa chati zako wanapeleka matokeo ndio haya watu wengine ndio walivyo kujipendekeza utadhani atapewa Visa
Marufuku kujiona mnyonge humu watakukula kichwa kuwa mbabe aggy usibabaishwe na mtu humu iwe kweli sio kweli wanyee tu
Nimejikuta natokwa na machozi. Mungu akufanyie muujiza Aggy. Wewe ni wa juu tu,haya unayopitia Mungu alishakuandikia kabla hata hujazaliwa,kwenye dini yangu tunaita MAKADIRI.