Naumia, nami ni binadamu

I must have been living under a rock Brother!!

Me too, I suppose. Coz I was caught off guard as well.

I was like ‘whaat’...I’m somebody’s man and I don’t know about it?
 

Safi bro
 
Haha kwa hiyo aliyekupa taarifa za PM ya hao watu wawili ni third party? Hum ndani kuna maajabu yaani mtu anajua nani ameingia PM ya nani? Tunaopenda kwenda kwenye PM za watu tupo hatarini

Ndiyo.

Lakini iko hivi, kuna mmoja wao atakuwa anadanganya.

Maana wahusika wa hiyo [hizo] PM ni wawili tu. Don C na huyo aliyenipatia taarifa.

Kama Don C anakana, basi mleta taarifa atakuwa ndo muongo na mzushi.

Kama mleta taarifa atakuwa mkweli, basi Don C atakuwa muongo.

Hiyo ishu ya PM haina mlolongo wa watu.

Muongo na mkweli watajulikana tu.
 
I can't be angry because of one fool..ningekua na hasira kama anachoongea ni kweli na ananivua nguo.but namuhurumia anajidhalilisha ye mwenyewe na uanaume wake.


Jamani..sipendi.umbea..Nyanu ngabu ni bro ...kwahyo Ngabu ndo aliyekuwa anakukera..mwe mradi umeamua kufunguka.funguka tu
 


Duh

.bas kuna mtu anawafitinisha mapenzi.yenu..au sijaelewa kakake😅
 
Jamani..sipendi.umbea..Nyanu ngabu ni bro ...kwahyo Ngabu ndo aliyekuwa anakukera..mwe mradi umeamua kufunguka.funguka tu

Mimi nimemkera kwa lipi? Sijawahi kuwa na uhusiano naye [kama ambavyo uzi wake ulivyokuwa unadai].

I stay in my lane.
 
So hitimisho lako ni lipi mpaka sasa
Kwa maelezo yangu umegundua nini?
And what if iam innocent?
 


Huo uzi naukumbuka..hee.kumbe ni ww...!tena mie nakumbuka nilimwambia ajaribu kuwa mkubwa...sasa masuala ya kudandia mada usioijua ndo nayaona hapa...hahaa deo alikua anamuonya sana..mm.aikupenda kumuexpose mwanaume namna ile..bas inawezekana aliyekupa wa info ndo mwongo..labda ahakikishe anatuma.pm ya aggy kwako uamini🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…