Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Long time not seen, welcome back.Toka hapa
I must have been living under a rock Brother!!
Mbona sijawahi kuona ukisimangwa humu? Au wana kuattack pm?
Mara nyingi wanaotoa misaada huwa wanaamini wanachakukudai na wako radhi kukuambia chochote wanachotaka na watataka uwatii, sio uungwana, sijasoma comment zote mpaka mwisho lakini kama kunawanaume mmemsaidia member halafu na nyie mnakuwa sehemu ya kumnyima amani kwa namna yoyote ile sio sawa kabisa, mi naamini Aggyjay kunamengine hajasema hapa maana kaongea kiukomavu sana, em mpeni relief mwenzenu. Tenda wema nenda zako usingoje shukrani, shukrani anatoa Mungu baada ya msaidiwaji kukuombea kwa msaada uliomfanyia.
Ila nyani ngabu ifike hatua abadirike haupiti mwaka humu kasutana na mwanake sijui wanaogombaniaga nini nyuma ya pazia?
Long time not seen, welcome back.
Haha kwa hiyo aliyekupa taarifa za PM ya hao watu wawili ni third party? Hum ndani kuna maajabu yaani mtu anajua nani ameingia PM ya nani? Tunaopenda kwenda kwenye PM za watu tupo hatarini
Ila nyani ngabu ifike hatua abadirike haupiti mwaka humu kasutana na mwanake sijui wanaogombaniaga nini nyuma ya pazia?
I can't be angry because of one fool..ningekua na hasira kama anachoongea ni kweli na ananivua nguo.but namuhurumia anajidhalilisha ye mwenyewe na uanaume wake.
Ndiyo.
Lakini iko hivi, kuna mmoja wao atakuwa anadanganya.
Maana wahusika wa hiyo [hizo] PMni wawili tu. Don C na huyo aliyenipatia taarifa.
Kama Don C anakana, basi mleta taarifa atakuwa ndo muongo na mzushi.
Kama mleta taarifa atakuwa mkweli, basi Don C atakuwa muongo.
Hiyo ishu ya PM haina mlolongo wa watu.
Muongo na mkweli watajulikana tu.
Jamani..sipendi.umbea..Nyanu ngabu ni bro ...kwahyo Ngabu ndo aliyekuwa anakukera..mwe mradi umeamua kufunguka.funguka tu
Duh
.bas kuna mtu anawafitinisha mapenzi.yenu..au sijaelewa kakake😅
Hii Mada imenivutia kuja huku mkuu@Cole Williams
Hahahaa ama wewe ni mchokozi tu au hujaelewa.
Hakuna mapenzi hapo. Hapajawahi kuwa na mapenzi. Zero, zilch, nada.
Mimi nimemkera kwa lipi? Sijawahi kuwa na uhusiano naye [kama ambavyo uzi wake ulivyokuwa unadai].
I stay in my lane.
So hitimisho lako ni lipi mpaka sasaNdiyo.
Lakini iko hivi, kuna mmoja wao atakuwa anadanganya.
Maana wahusika wa hiyo [hizo] PMni wawili tu. Don C na huyo aliyenipatia taarifa.
Kama Don C anakana, basi mleta taarifa atakuwa ndo muongo na mzushi.
Kama mleta taarifa atakuwa mkweli, basi Don C atakuwa muongo.
Hiyo ishu ya PM haina mlolongo wa watu.
Muongo na mkweli watajulikana tu.
Nakumbuka kusoma nasaha zako zile.
Kipindi hicho nilikuwa likizo hapa JF.
Huyu mwanzishaji wa hii mada alianzisha mada mbili.
Ya kwanza ilikuwa kumhusu ‘bebi’ wake ambaye alikuwa hapokei simu zake, nk.
Ya pili ikawa ni mrejesho wa hiyo mada ya kwanza.
Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa.
Baada ya hiyo mada kuanzishwa na watu kuanza ku guess mhusika ni nani, nikaanza kutafutwa nje ya JF.
Nikaanza kuulizwa ‘we Ngabu umemfanya nini huyo mtu?’ Maana anakuongelea huko JF.
Nikashangaa sana. Ananiongelea huko JF kwa lipi? Kuja kusoma nikabaki nashangaa tu.
Maana mimi sina uhusiano naye. Sijawahi kuwa na uhusiano naye. Sasa iweje awe ananizungimzia mimi?? Sipokei simu zake zipi ilhali hata namba yangu ya simu hana? Nikabaki nashangaa tu.
Baadaye nikatafutwa tena na nikapewa uhakikisho kuwa ni kweli huo uzi ulikuwa unanihusu mimi.
Supposedly, huyo mwanzisha uzi sijui uliwasiliana naye na aka confirm kwako kuwa ni kweli huo uzi wake ulikuwa umenilenga mimi.
Nikapotezea tu kwa sababu hakukuwa na ukweli wowote ule. Zaidi ya kumsaidia tu kiubinadamu, mimi sijawahi kabisa kuwa na uhusiano naye kimapenzi kama alivyoelezea yeye.
Sasa imagine mtu umemsaidia, tena siyo mara moja, halafu anakuja anakuzushia mambo ya ajabu ajabu kabisa yasiyo na mbele wa nyuma.
Nikam- cancel. Nikampuuza kama mwendawazimu.
Sasa naona hapa analalamika. Analalamika nini wakati ulimuonya kipindi kile kuwa this will not end well for her?
Dish limeyumba huyo.
Unless aje akiri hapa kuwa hakuwa ananizungumzia mimi, otherwise I stand by everything I’ve said.