Acha kabisa.[emoji28][emoji28][emoji28]Hahaa na watu walivyo na stress za maisha sasa[emoji126][emoji126][emoji126]...!hatari sana...!mie time taker nikiamua
Mdogo wangu huwa ukai na kitu rohoni ila hapa please hatutaki povu.[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Usije piyemu kwangu tafazaliHaha kwa hiyo aliyekupa taarifa za PM ya hao watu wawili ni third party? Hum ndani kuna maajabu yaani mtu anajua nani ameingia PM ya nani? Tunaopenda kwenda kwenye PM za watu tupo hatarini
Namchora tu mama ushauri hebu akae mbali kidogoHa haaa umejifanya mpatanishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe naye usimtishie sana huyu dada,anavuliwa nini??Narudia kukushauri, umeshaandika vitu vingi na unarudia rudia yale yale.
Why don't you keep quiet?
Hii issue unaweza kudhani inakupa ushindi, lakini inakuvua wewe.
I wish ungeweza kuwasikiliza wote wanaokushauri kukaa kimya.
Aanhaaaaa!Naanzaje kukucheka jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafurahiiii.... Kumbe humu ndani mambo ni mengi mnoooooo
Mdogo wangu huwa ukai na kitu rohoni ila hapa please hatutaki povu.
Hata Mimi nimeshangaa mno wanaume wao tu kila siku kugombana na wanawake hadi wanaaibishwa kwakweli ni aibu kubwa mno.Don mie huwa nakuona smart..ila niwe mkweli..nakwazika sana na hii tabia ya kuingia kwenye malumbano na wanawake ...unakumbuka niliwah kukualert pm..ulisemwa weee samahan..hv ww huna marafiki wakiume?nisamehe kukuhukumu!...au ww bado mtoto mtoto sana?hufananii na misuto ya jf bwana wee!
Aanhaaaaa!
Unajifanya mgeniiiiiii
Jamaa angu badilika achana na hayo mambo au wewe ni yule anaeijita mzee wa ngenga kule instagram?Hapo hakuna msuto, usiogope.
Mimi naingiaje sasa hapo??Mara nyingi wanaotoa misaada huwa wanaamini wanachakukudai na wako radhi kukuambia chochote wanachotaka na watataka uwatii, sio uungwana, sijasoma comment zote mpaka mwisho lakini kama kunawanaume mmemsaidia member halafu na nyie mnakuwa sehemu ya kumnyima amani kwa namna yoyote ile sio sawa kabisa, mi naamini Aggyjay kunamengine hajasema hapa maana kaongea kiukomavu sana, em mpeni relief mwenzenu. Tenda wema nenda zako usingoje shukrani, shukrani anatoa Mungu baada ya msaidiwaji kukuombea kwa msaada uliomfanyia.
Hata Mimi nimeshangaa mno wanaume wao tu kila siku kugombana na wanawake hadi wanaaibishwa kwakweli ni aibu kubwa mno.
Bora judge ufunge jaridaImetosha kujieleza
Case closed
Hapo anafail sasa uyo jamaa inatakiwa akae ajitathimi ikibidi ata abadili ID kabisa maana hiyo ya sasa watu wanamdharau anaingia kwenye kundi la (mbea ) kwa mwanaume kuitwa ivyo ni jau.Hii mbona chamtoto...aliwah funguliwa uzi eti wakawa wanasrma anaomba omba mno hela kwa mademu wa jf..uliza sasa hela yenyewe. 10k..!nikashindwa vumilia..alafu 98%wanaume wakawa wanamnyamba..hakuna alomtetea zaid yangu mm na id fulan hv siku hiz siion..suddenly uzi ukafungwa!yaan inaboa! mie ndo maana nna marafiki weng me zaid..eish!tena smart!
Unayachimbaaaaa. Utayapata shauri yakoDuh
.bas kuna mtu anawafitinisha mapenzi.yenu..au sijaelewa kakake😅
Hapo anafail sasa uyo jamaa inatakiwa akae ajitathimi ikibidi ata abadili ID kabisa maana hiyo ya sasa watu wanamdharau anaingia kwenye kundi la (mbea ) kwa mwanaume kuitwa ivyo ni jau.
BrotherMimi naingiaje sasa hapo??
Hebu ngoja kwanza mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cc: Khantwe
Mimi naingiaje sasa hapo??
Hebu ngoja kwanza mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cc: Khantwe