Naumia, nami ni binadamu

kama sikosei.ilifika pg 100...siku 3 wanamchamba mtu m1 jaman..hahaa nilivyo na huruma nikaubeba.!lakini anaapear tena huku😏😏😏😏

Tabia ni kama ngozi kibaya zaidi anajiona yuko Sawa yaani unavyo mkosoa ana kushangaa ila huyu member afanani na sifa hizi kabisaa.
 
S
Tabia ni ngozi kibaya zaidi anajiona yuko Sawa yaani unavyo mkosoa ana kushangaa ila huyu member afanani na sifa hizi kabisaa.


Tusihukumu shogangu...tuishie kushangaaa tu..huenda kuna mambo mengine behind the scene
 
Tabia ni kama ngozi kibaya zaidi anajiona yuko Sawa yaani unavyo mkosoa ana kushangaa ila huyu member afanani na sifa hizi kabisaa.
Wakati nyie mnamtetea yeye anajiona yupo sahihi. Kitu kafanya yeye nyie mnaona aibu yeye anaona ni sifa. Hawa watu tupo nao sana kwenye jamii.
Ni ngumu kubadilika. Hata upige tarumbeta.
Ila vitu vingine yupo smart hadi unashangaa anatokeaje kwenye skendo kama hizi. Bado mimi nashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…