Naumia, nami ni binadamu

Hahahahahaha nyete alikuja kuwatapeli watu hapa walituma pesa balaa....

Alimpost dogo mmoja hivi ameungua moto yupo lugalo... Akafake ye ndo maza wa mtoto kisha akaomba msaada wa pesa za matibabu heheheheheh watu wakatuma

Salaleeew kumbe mwizi
Nyete alifanyaje jamani maarufu kweli humu [emoji851][emoji851][emoji13]
 
Binadam tumefanana nywele tu ingawa zina rangi tofaut nyingine nyeupe nyingine nyeusi ila kwa mawazo kila mtu anaakili yake Pole Sana ndugu
 
Shost ila ulichonifanyia Sawa tu nakwambia najua wewe ni pacha wangu yan jiran kama sikosei
Eeeeeh jamani mbona nasutwa tena mebidi niwe mpole...

Demiss jamani nimefanya nini
 
Unawezaje kumtungia mtu uongo wewe.?
Halafu uongo mzito kama hivo ambao umedamage urafiki wangu na ngabu?

Mie na ngabu tulikia sawa kabisa.I treated him like my brother with all respect,na yeye pia hivo hivo.
Sikutarajia siku unaweza kuwa hivi

Ila wewe kidudu mtu chakubanga wa kiume ulokosa la kufanya..

Baada ya yeye kuuliza ulowaambia huko wamekugeuzia kibao unakuja unadai umetunga...

Ntadeal na wewe!
 
Nlikua nasoma tu sifa zake. Kila hapa loh!kanionesha rangi yake halisi

Ile Uzi wanawake walikua kibao.kila ye mtoto wa kiume mbio mbio kashamjua anaetajwa..

Huyu atakua kakulia na Dada watupu.hizi tabia hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…