Naumia, nami ni binadamu

Relax mtoto mzuri aggyjay kuwa na amani ya moyo. Katika ulimwengu huu ulio jaa chuki, unafiki na vita huwezi mridhisha kila mtu na huwezi pendwa na kila mtu.

Matatizo ni sehemu ya maisha tume umbiwa binadamu wote na kila mtu humpata kwa wakati wake.
Asante mkuu
 
Hao washamba tu ...wapuuzie ''Tambua kwamba humu Kuna baadhi ya mijitu haijitambui na ndio hao wanaoshinda humu na kisha kuanza kuwachafua watu as if wao ni wasafi ....

Wapotezee tu
 
Hao washamba tu ...wapuuzie ''Tambua kwamba humu Kuna baadhi ya mijitu haijitambui na ndio hao wanaoshinda humu na kisha kuanza kuwachafua watu as if wao ni wasafi ....

Wapotezee tu
Nimekuelewa
 
Wapo binadamu wanaosaidia wenzao kwa kujionyesha kwamba na wao walihusika lakini hawakutoa kutoka moyoni...matokeo yake ndiyo hayo...so achana nao
 
Pole sana mrembo kwa hayo yaliyokupata.

Usiyumbishwe kwa maneno ya watu, hata kama alikusaidia. Kukusaidia siyo ticket ya wewe kuwaabudu na kuwasifu.

Kama umeshapona ni vema kumshukuru Mungu tu, hayo mengine ya walimwengu achana nayo.

Na siku ukipatwa na tatizo, usisite kuleta uzi wa kuomba tafu. Hata kama sikuchangia ila siku nyingine usisite kwa kuogopa maneno. Hakuna mtu asopatwa na tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…