Naumia, nami ni binadamu

Pole sana Dada yangu hayo yote ni maisha,
IPO siku yatakwisha,
 
Nilitaka kutoa pole, lakin huko kati kati naona sijui watu wanatafuta attention kwa story za kutunga.

Mara sijui ngabu naye vimepandiana vikojoleo kwa kuvuta hisia ya aggy yani mambo mengi mpaka nimeona hakuna aliyeumia na mm nisichukuliwe na upepo.
 
Wewe ni mbea
 
Huu ushauri ni mzuri.
Kama akiufuata.
 

Mkuu nimependa hapo uliposema uliupotezea kwa sababu hapakuwa na ukweli wowote ule. Ulifanya vyema.
Kama uliweza kupotezea kipindi hicho bila kutafuta ukweli kwa mhusika na kudhibitisha, kwanini haukuendelea kupotezea moja kwa moja badala ya kumrarua huyu binti?

Kwa maelezo yake alisaidiwa na wengi, kwanini baada ya yye kufungua thread yake ile watu wahisi moja kwa moja ni wewe na sio hao wengine? Na isitoshe mkuu wewe mwenyewe unadhibitisha kwamba "Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa."

Kwanini moja kwa moja watu waweze kung'amua ni wewe? Mbali na kuambiwa wewe umedhibitisha tuu mtu yeyote angehisi ni wewe. Hapa kwa sisi Wazee tunasema yawezekana ni kweli mlishakuwa na mazoea au kuna watu ulishawaambia kuhusu huyu binti nao wakahadithia rafiki zao na rafiki zao wakahadithia rafiki zao na hiyo siku kazi yao ikawa ni kuconnect dots tuu.

Kama uliweza kupotezea mwanzo ungepotezea moja kwa moja. Kama mhusika siyo wewe haukuwa na haja ya kumrarua na maneno lazima mhusika yupo hata kama sio wewe.

Kama ni watu walikuambia ni wewe ulipaswa umuulize mtoa mada adhibitishe kabla ya kutoa hukumu mkuu.
 
Just an FYI, mimi sina tatizo na wewe. Matter of fact, most of the time I just mind my own business. I don’t start shit.

Hivyo nakuuliza tu ili nipate uhakika maana kwa taarifa nilizopewa ni kwamba uli slide kwa PM yake na kumhoji zaidi.
Haha kwa hiyo aliyekupa taarifa za PM ya hao watu wawili ni third party? Hum ndani kuna maajabu yaani mtu anajua nani ameingia PM ya nani? Tunaopenda kwenda kwenye PM za watu tupo hatarini
 
Haha kwa hiyo aliyekupa taarifa za PM ya hao watu wawili ni third party? Hum ndani kuna maajabu yaani mtu anajua nani ameingia PM ya nani? Tunaopenda kwenda kwenye PM za watu tupo hatarini
Hahaha khantwe hii ni mpya
Muite huyo jamaa aje kunijibu na ahitimishe...I can't bear huu upuuzi kabisa.
 
Hope atafuata ujumbe wako..anayoongoe na ukweli ni mbingu na ardhi.
Limenichefua.haitoshi bado ananitukana
 
I can't be angry because of one fool..ningekua na hasira kama anachoongea ni kweli na ananivua nguo.but namuhurumia anajidhalilisha ye mwenyewe na uanaume wake.
Ni mapema sana kuiharibu siku yako.
Usikubali kuanza siku yako kwa hasira.
Pole sana
 
Nilitaka kutoa pole, lakin huko kati kati naona sijui watu wanatafuta attention kwa story za kutunga.

Mara sijui ngabu naye vimepandiana vikojoleo kwa kuvuta hisia ya aggy yani mambo mengi mpaka nimeona hakuna aliyeumia na mm nisichukuliwe na upepo.
Soon baada ya kusoma hii story nikajikuta namuonea huruma mtu mwenye matatizo yanayoitaji msaada ila nimejiuliza how comes unampa mtu msaada afu then unatumia kama tool Kum drive, no, is not fair at all. Lakini kadri post zinavyozidi kutiririka unaona kuna cha zaidi. Anyway tuache hayo cha msingi ni kuvumiliana na kupokeana kwa hali tulizo nazo. Kuishi, kusahau, kuheshimiana na kupendana.
 
Bongo Muvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…