Ya ngoswe tuyaache dear...Soon baada ya kusoma hii story nikajikuta namuonea huruma mtu mwenye matatizo yanayoitaji msaada ila nimejiuliza how comes unampa mtu msaada afu then unatumia kama tool Kum drive, no, is not fair at all. Lakini kadri post zinavyozidi kutiririka unaona kuna cha zaidi. Anyway tuache hayo cha msingi ni kuvumiliana na kupokeana kwa hali tulizo nazo. Kuishi, kusahau, kuheshimiana na kupendana.
Asante Sakayo, nami pia miss sana wewe, nahisi umeshaingia kwenye ventrico😂😂Ya ngoswe tuyaache dear...
Nakuhamu mhenga
Wewe ni mbea
Alivyokuwa anajikanyaga tu nikajua huyu mchonganishi tuUmeona eee
Wewe ni mbea
Dada angu mimi natumiaga EAGLE bia moja buku tu.Nitafute nna soda yako au konyagi umenifurahisha sanaa sanaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante Sakayo, nami pia miss sana wewe, nahisi umeshaingia kwenye ventrico[emoji23][emoji23]
Zinatoka kwa upendeleoooooNitafute nna soda yako au konyagi umenifurahisha sanaa sanaaa
Dada angu mimi natumiaga EAGLE bia moja buku tu.
Zinatoka kwa upendeleooooo
Amejua kumaliza kila kitu!Ahahah sakayo Mkuyenge kamaliza kila kitu maneno machache maana kubwaaa limenifurahisha sana
Amejua kumaliza kila kitu!
Vipi mbona una oneka umekasirika ndugu ?I can't be angry because of one fool..ningekua na hasira kama anachoongea ni kweli na ananivua nguo.but namuhurumia anajidhalilisha ye mwenyewe na uanaume wake.
Ni wewe na Mimi ndo hatujui mkuuAiseeeee hivi humu jukwaani Kuna mengi yanaendelea eeeeeh [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hiyo hela anayodaiwa ntalipaAggy usirudishie pesa bata yoyote ile humu ndani move on na maisha yako we bado ni mwanamke shupavu usiyumbishwe hata kidogo
Asante dinaAggy usirudishie pesa bata yoyote ile humu ndani move on na maisha yako we bado ni mwanamke shupavu usiyumbishwe hata kidogo
Ni wewe na Mimi ndo hatujui mkuu