Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

Huo uzi naukumbuka..hee.kumbe ni ww...!tena mie nakumbuka nilimwambia ajaribu kuwa mkubwa...sasa masuala ya kudandia mada usioijua ndo nayaona hapa...hahaa deo alikua anamuonya sana..mm.aikupenda kumuexpose mwanaume namna ile..bas inawezekana aliyekupa wa info ndo mwongo..labda ahakikishe anatuma.pm ya aggy kwako uamini🤔

Niliambiwa kuwa ndo mimi ati!

I was like WTF! How could it be me when I’ve never ever had anything of that nature with her?

Ila ndo hivyo, nikahakikishiwa kabisa.
 
Pole sana.

Tatizo la kwetu binadamu tunapenda baada ya kusaidia tunyenyekewe. Yaani nikishakusaidia nihakikishe unakuwa chini yangu, kila kitu ninachosema ujibu yes, ikitokea ukinipinga ndiyo shida inaanzia hapo.

Pole sana, Mungu akutie nguvu ni kweli inauma na yanaumiza sana.

Be strong lady...! You were given this life because you are strong enough to live it.
Love u...
 
Ndiyo.

Lakini iko hivi, kuna mmoja wao atakuwa anadanganya.

Maana wahusika wa hiyo [hizo] PM ni wawili tu. Don C na huyo aliyenipatia taarifa.

Kama Don C anakana, basi mleta taarifa atakuwa ndo muongo na mzushi.

Kama mleta taarifa atakuwa mkweli, basi Don C atakuwa muongo.

Hiyo ishu ya PM haina mlolongo wa watu.

Muongo na mkweli watajulikana tu.
Sasa mkuu , kwanini usimtaje huyo aliyekwambia kwamba don na huyu binti walichati pm?.

Don amekana hajachat pm na huyu binti kwa maana hiyo huyo aliyekwambia amejuaje? Na anapata wapi access ya kusoma pm za watu? Nilisikiaga kuna watu wanasoma pm za watu nashawishika kuamini.
 
Anhaa...kumbe ulienda kuusoma eh?

Ni hivi, yeye mwenyewe huyu mwanzisha mada aliwasiliana na Don C kwenye PM.

Huko kwenye PM ndo aka confirm kwamba mlengwa wa huo uzi ilikuwa ni mimi.

Sasa basi, unless wote wawili waje hapa kukanusha na huyo mwanzisha mada akanushe kuwa hakuwa ananizungumzia mimi, Nitafuta kauli zangu na kuomba radhi.

Lakini mpaka hapo itapotokea hivyo, mimi sina kosa lolote lile.

Hata ingekuwa wewe umenisaidia kiubinadamu, nje ya hapo hatuna uhusiano wa kimapenzi, halafu unakuja kuona nimekuanzishia uzi kama huo, utajisikiaje?

Hutoniona mi mzushi?

Zaidi ya huruma za kiubinadamu, mimi sikuwa na jingine kabisa kwake.

Tena nilisaidia hata ku vouch kwenye ule uzi wake wa kuomba msaada kwamba ni kweli alikuwa na shida kwa sababu niliwahi kuthibitisha kwa macho yangu.


Meeyah
 
Sasa mkuu , kwanini usimtaje huyo aliyekwambia kwamba don na huyu binti walichati pm?.

Don amekana hajachat pm na huyu binti kwa maana hiyo huyo aliyekwambia amejuaje? Na anapata wapi access ya kusoma pm za watu? Nilisikiaga kuna watu wanasoma pm za watu nashawishika kuamini.



Amesema aggy aliwasiliana na don c kwenye pm...huenda don ndo alimwambia ngabu💃💃
 
Kwenye ile thread nilizingua kuandika kama vile namjua muhusika moja kwa moja, lengo ilikuwa ni kumwomba aachane na hiyo issue kwa sababu straight niliwaza kwamba anayetajwa ni moja ya wahisani wake kwenye issue za bima, hivyo nikaona kama inaenda kumuharibia kama ikitokea akahitaji msaada kwenye renewal ya bima.

Ukisoma maandishi yake utaona kabisa kwamba aliyetajwa ni member wa JF, ila cha ajabu analalamika kwamba hajawahi hata kupigwa naye busu, hivyo tukawa tunashangaa kwa nini alalamike vile.

Good thing alibadili gia akatuambia alikuwa anatania, kiheshima watu walikausha.



Nakumbuka..bas mie sikua najua hayo ya bima..nilisimamia tu kiutu uzima..mtu hujawah muona iweje upanick vile uwii..hatari .labda kuna mengune hatujui
 
Amesema aggy aliwasiliana na don c kwenye pm...huenda don ndo alimwambia ngabu[emoji126][emoji126]
Mimi pia mwanzo nilihisi Don ndio kamwambia ngabu. Lakini ngabu amesema kuna mtu ( ambae si don) ndiyo kamwambia Don na Aggyjay walichat pm.
Na Don kakana hajachat na huyu binti.
Swali ni nani huyo kamwambia kwamba Don na Aggyjay walichat pm? Na kama kaweza kumtaja Don ni bora amtaje na huyo aliyemfikishia taarifa kwamba fulani na Fulani walichat pm.
Pm zinasomwa hujui tuu.[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Mimi pia mwanzo nilihisi Don ndio kamwambia ngabu. Lakini ngabu amesema kuna mtu ( ambae si don) ndiyo kamwambia Don na Aggyjay walichat pm.
Na Don kakana hajachat na huyu binti.
Swali ni nani huyo kamwambia kwamba Don na Aggyjay walichat pm? Na kama kaweza kumtaja Don ni bora amtaje na huyo aliyemfikishia taarifa kwamba fulani na Fulani walichat pm.
Pm zinasomwa hujui tuu.[emoji51][emoji51][emoji51]


😂😂😂Sijui niuite utoto au kukosa kazi ???
Nyani Ngabu hebu jaribu kujiepusha na haya mauza uza hufit kbs yaan!najiskia taabu
 
Mkuu nimependa hapo uliposema uliupotezea kwa sababu hapakuwa na ukweli wowote ule. Ulifanya vyema.
Kama uliweza kupotezea kipindi hicho bila kutafuta ukweli kwa mhusika na kudhibitisha, kwanini haukuendelea kupotezea moja kwa moja badala ya kumrarua huyu binti?

Kwa maelezo yake alisaidiwa na wengi, kwanini baada ya yye kufungua thread yake ile watu wahisi moja kwa moja ni wewe na sio hao wengine? Na isitoshe mkuu wewe mwenyewe unadhibitisha kwamba "Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa."

Kwanini moja kwa moja watu waweze kung'amua ni wewe? Mbali na kuambiwa wewe umedhibitisha tuu mtu yeyote angehisi ni wewe. Hapa kwa sisi Wazee tunasema yawezekana ni kweli mlishakuwa na mazoea au kuna watu ulishawaambia kuhusu huyu binti nao wakahadithia rafiki zao na rafiki zao wakahadithia rafiki zao na hiyo siku kazi yao ikawa ni kuconnect dots tuu.

Kama uliweza kupotezea mwanzo ungepotezea moja kwa moja. Kama mhusika siyo wewe haukuwa na haja ya kumrarua na maneno lazima mhusika yupo hata kama sio wewe.

Kama ni watu walikuambia ni wewe ulipaswa umuulize mtoa mada adhibitishe kabla ya kutoa hukumu mkuu.
manengelo jawabu lipo hapa. Nimemshauri vizuri tuu.
Kwamba kama tangu mwanzo alijua ni yeye na akakaa kimya angeendelea kukaa kimya bila kumpiga vijembe huyu binti .
 
Back
Top Bottom