Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Sikuona hiyo mada ππππ
kama sikosei.ilifika pg 100...siku 3 wanamchamba mtu m1 jaman..hahaa nilivyo na huruma nikaubeba.!lakini anaapear tena hukuππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuona hiyo mada ππππ
Twende zetu kwa membe heburafiki nimeachaaa
Nimefika mie muudaTwende zetu kwa membe hebu
Nimetoka dogo langu wala usijali. By the way mimi nachit chat hapa na marafiki zangu, all those I quote ni marafiki zangu tuBrother
Naomba hii mada usichangie
kama sikosei.ilifika pg 100...siku 3 wanamchamba mtu m1 jaman..hahaa nilivyo na huruma nikaubeba.!lakini anaapear tena hukuππππ
Amefanyaje tena shogangu..anatumia j8na gan insta
S
Tabia ni ngozi kibaya zaidi anajiona yuko Sawa yaani unavyo mkosoa ana kushangaa ila huyu member afanani na sifa hizi kabisaa.
Kawa mweusi tii
Mkishatekana msirudi tafazali
Khaaa anatumia jina gan insta
Baadae aisee! Ngoja nilale hiviHahahaha wasije nakazia
Kwa kweli mamy umeandika jambo muhimu.Tusihukumu shogangu...tuishie kushangaaa tu..huenda kuna mambo mengine behind the scene
Niko pouwa sana kiongozi, mambo vp!Hahahaahahahahahahaaha!
Niaje mwanangu????
Tabia ni kama ngozi kibaya zaidi anajiona yuko Sawa yaani unavyo mkosoa ana kushangaa ila huyu member afanani na sifa hizi kabisaa.
Fresh aisee. Check you laterNiko pouwa sana kiongozi, mambo vp!
Nimetoka dogo langu wala usijali. By the way mimi nachit chat hapa na marafiki zangu, all those I quote ni marafiki zangu tu
Best hii comment yangu ina ubaya nisije pewa za mbavu πππHahaha hamkomiii[emoji23]
It's now!Ukipata muda naomba unitafute.
Kuna kitu nataka nikwambie
Wakati nyie mnamtetea yeye anajiona yupo sahihi. Kitu kafanya yeye nyie mnaona aibu yeye anaona ni sifa. Hawa watu tupo nao sana kwenye jamii.Tabia ni kama ngozi kibaya zaidi anajiona yuko Sawa yaani unavyo mkosoa ana kushangaa ila huyu member afanani na sifa hizi kabisaa.