Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Tumefahamiana tokea mwaka 2022 Desemba. Kufika Feb 2023 nikatupia swaga kutokana na mazoea ambayo nilikuwa nishajiwekea kwake, cha ajabu huyu mwanamke akanitolea baharini, nikaachana naye hata kwa mazoea ili kuruhusu vijana wengine wapambanaji kupambania kombe
Tuliishi kama majirani wa salamu tu hadi kufikia November mwaka jana. Nilishangaa kuona namna ambavyo alirudisha mazoea kwa kasi ya 4G, kila alichokizungumza hakukosa kunitaja. Mwezi mmoja baadae (Desemba) mida ya saa 8 usiku niliamka usingizi na kuelekea maliwatoni wakati nachomoka humo toi nikakutana naye akiwa anaelekea.
Alivaa kanga moko aliyoivuta hadi nusu ya mapaja yakabaki nje, muda huo nikishuhudia rangi yake ya njano na vimichirizi fulani hivi vya utamu, mnara ulisoma 6G, ikanibidi nigeuke kumngoja. Sikumbuki nilizungumza naye nini, ila nilijikuta nikimpapasa kwa hisia kali sana, sikujua ilikuwa vipo, ila nilijikuta niko naye ndani kwangu hata pale nilipomaliza sikupata picha kabisaaa.
Baada ya hapo alikuwa ni mtu wa aibu sana, siku moja moja aliniletea msosi kwa gharama zake etc. Kuna sikh nikawa nimempanga anipatie tena mbususu niitafune kwa hasira kali, lakini akawa ni mtu wa kunikwepa, akiona nimepunguza upendo anakuwa ni mtu wa kuniliwaza sana hasa kwenye sms na utoto mwingi. Ikafikia hatua nivunge kama na move on, huwezi amini naye ndo ka move on mazima
Naumia sana kwa kuwa bado namuhitaji na sitaki kujishusha.