Naumia sana nikikumbuka usumbufu wa kaka ulivyomfanya mama awe analia na kupata stress, wengine mpo ambao mliona mama anakosa raha kisa mtoto?

Kwa assessment dogo niliyoifanya kutoka kwenye andiko lako hili,mama yenu hakuwa/siyo mlezi mzuri wa watoto. Ni dhahiri kuwa alikuwa akimsaliti na kumhujumu baba yako (nadhani ndiye uliyemtaja kuwa mzee wako) na km hiyo sentence iliyoko ndani ya mabano ina maana ya baba yako,hayo yote ni matokeo ya malezi mabovu uliyoyapata kutoka kwa mama yako.
Unawezaje kumuita baba yako mzee badala ya kumuita baba? Km baba umenihudhi sana.
 
Katika kila familia huwa kuna mwiba huo. Mungu atusaidie kwa kweli.
 
wazazi wako wazima?imeandikwa nyakati za mwisho wazazi watakuwa wanawaogopa watoto zao, Yaani mtoto atamzaa mzazi
 
Mara nyingi mtoto mwenye Tabia hizo muangalie Mama yake.
Mara nyingi hudekezwa na Mama zao.
Hata akipewa adhabu Mama anatetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…