Namuona online, SMS zinakuwa delivered !!!
hapo inacheza Barcelona na yanga alafu umeweka BOTH TEAM WILL SCORE.Mapenzi haya asikwambie mtu
Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim
Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso
Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu
Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana
Sijui kwa nini?
Ushahidi gani labda
Pole mkuu,habar za siku?Pole sana huwa inauma sana haya mapenzi ya online hayaeleweki mm yashanikuta huwa siamini sana
Wa upande wapill mana inawezakan aliacha bila kuzima data kwa kusaha alafu akawa yupo na kazi nyingiUshahidi gani labda
nimetokea kukuelewa sana[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio tatizo kumuona online mimi kuna jamaa yangu aliibiwa simu lakini kutwa ilikuwa online na mwisho jamaa(yule mwizi) akaanza kuomba mkopo wa hela akijifanya ndio yule jamaa yangu.Lakini namuona online!!
Hahaha amtaje ili umchapeOohh jomoni pole nani huyo tema mate tumchape
Pole naona uko desparate jamaa alikuwa anakuchezea tu ...hata mimi huwa inanitokea halafu nikipata demu mkali mtaani ..namtosa wa mtandaoniMapenzi haya asikwambie mtu
Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim
Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso
Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu
Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana
Sijui kwa nini?
[emoji4][emoji120]nimetokea kukuelewa sana[emoji41]
Ndio uhalisia.Mawazo yangu kabisa