Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Mapenzi haya asikwambie mtu

Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim

Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso

Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu

Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana

Sijui kwa nini?
hapo inacheza Barcelona na yanga alafu umeweka BOTH TEAM WILL SCORE.
 
Dah kaz kwel hata size ya dick haujui kama inakutosha umeshaanzaa umia...
 
Lakini namuona online!!
Sio tatizo kumuona online mimi kuna jamaa yangu aliibiwa simu lakini kutwa ilikuwa online na mwisho jamaa(yule mwizi) akaanza kuomba mkopo wa hela akijifanya ndio yule jamaa yangu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mapenzi haya asikwambie mtu

Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim

Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso

Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu

Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana

Sijui kwa nini?
Pole naona uko desparate jamaa alikuwa anakuchezea tu ...hata mimi huwa inanitokea halafu nikipata demu mkali mtaani ..namtosa wa mtandaoni
 
Back
Top Bottom