Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Usitafute viatu vipya ukiwa peku ndo mana unaumia πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Lakini namuona online!!
Mtu kuwa online haimaanishi kuwa anchati kuna watu wana bando za kutosha.
alafu whatsapp ni tricky sana, pili JF pia una weza ukafungua ukaacha wazi ukaendelea na yako hivyo watazamaji watakuona uk online kumbe we uko na zako.

Nakushauri ufuate ushauri wa Da'Vinci katoa ushauri wa busara sana.

kingine ujumbe nimeupata nitajitahidi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Inatokea sana hiyo cha kushangaza ni kwamba siku utakayokutana naye live unaweza kujikuta unamchukia na kumkinai mpaka unajuta
 
hayo mahusiano ya kimapenzi yametoka wapi wakati unasema hamjawahi onana
 
Laiti ungekutana na mimi mitandaoni usingejuta [emoji4][emoji4][emoji4] pole sana
 
Ni ujinga tu kama ujinga mwingine.Fanya kui resset akil yako irud kwnye hal ya kawaida utajiona jinsi ulivyojitia ujuha
 
GuDume unamuumiza mwenzako huku

Huyu nae atakuja kusema wanaume hawaridhiki? Wanaume vile? Wanaume hivi??na Mwisho wa siku atajiuliza mwanaume nimedumu nae miaka mitano halafu kaoa mwingine!!!!hawaaminiki
 

Pole .ameamua kukuacha sababu kutokana na aina ya chati zako amegundua siyo taipu yake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

GuDume unamuumiza mwenzako huku

Huyu nae atakuja kusema wanaume hawaridhiki? Wanaume vile? Wanaume hivi??na Mwisho wa siku atajiuliza mwanaume nimedumu nae miaka mitano halafu kaoa mwingine!!!!hawaaminiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…