Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sakayo njoo umchukue ndugu yako.
 
Thanks mkuu. Akiona inafaa aufuate.

BTW kunasiku ulitaka kuninasa bila ww kujua, thanks hukunipata mm niiakupataπŸ˜€πŸ˜€
 
Thanks mkuu. Akiona inafaa aufuate.

BTW kunasiku ulitaka kuninasa bila ww kujua, thanks hukunipata mm niiakupataπŸ˜€πŸ˜€

Wanawake na akili zao anaweza kufanyia kazi ushauri wa kijinga anaopewa humu.

Wapi tena hapo mkuu nilitaka kukunasa?πŸ™„
 
Pole sana atakuwa ameshakukata Mkuu, lakini usikate tamaa iwe nuru ukipata mwingine jaribu tena.

Watu wema bado wapo kwenye dunia yetu hii
Mkuu mpe hata matumaini ya uongo kuwa labda yupo busy.

Si kwa jibu hilo nimejikuta nacheka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh teh

Afadhali hiyo!

Mwingine anaweza kudhani we ndo mtu wake ilhali we mwenyewe huna habari kabisa na wala huna mpango huo.

Halafu eti mwishowe anaishia kuumia nawe unabaki unashangaa tu.
Kama ambavyo mi naumiaga juu yako....
😰
 
Pole sana ila vuta subra,then mpe nafasi msikilize kilichomsibu na pia naamini baada ya kupata taarifa yake utakuwa na majibu ni hatua gani uchukue ,,,,,
Japo najua atakuwa ana do na someone (jockey)
 

Current situation damn n i cnt tag u.......nanukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…