Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
HongeraNafikiri nitakuwa Mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraNafikiri nitakuwa Mwema
[emoji23][emoji23]Wazazi wako wanajua kama una teseka[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1163123
Hili ndiyo linaweza likawa jibu sahihi la kinachoendeleaPole .ameamua kukuacha sababu kutokana na aina ya chati zako amegundua siyo taipu yake
Thanks mkuu. Akiona inafaa aufuate.Mtu kuwa online haimaanishi kuwa anchati kuna watu wana bando za kutosha.
alafu whatsapp ni tricky sana, pili JF pia una weza ukafungua ukaacha wazi ukaendelea na yako hivyo watazamaji watakuona uk online kumbe we uko na zako.
Nakushauri ufuate ushauri wa Da'Vinci katoa ushauri wa busara sana.
kingine ujumbe nimeupata nitajitahidi 😂 😂 😂
Kumbe dume!kumbe kuna wanaume nao wako hvoDume zima utumiwe vocha na mrembo?? Utakuwa sio riziki wewe
Thanks mkuu. Akiona inafaa aufuate.
BTW kunasiku ulitaka kuninasa bila ww kujua, thanks hukunipata mm niiakupata😀😀
Mkuu mpe hata matumaini ya uongo kuwa labda yupo busy.Pole sana atakuwa ameshakukata Mkuu, lakini usikate tamaa iwe nuru ukipata mwingine jaribu tena.
Watu wema bado wapo kwenye dunia yetu hii
Halafu ujue nakuchekiSasa huoni umeanza kutoa siri yetu? Kwanini lakini Agata?
Kama ambavyo mi naumiaga juu yako....Teh teh
Afadhali hiyo!
Mwingine anaweza kudhani we ndo mtu wake ilhali we mwenyewe huna habari kabisa na wala huna mpango huo.
Halafu eti mwishowe anaishia kuumia nawe unabaki unashangaa tu.
We umenitenga bhana. Naumia lakini navumilia tu. Maana sina namna tenaHalafu ujue nakucheki
Khaaaa! Wivu sina ila roho inaumaKama ambavyo mi naumiaga juu yako....
😰
Mapenzi haya asikwambie mtu
Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii, mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za simu
Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso
Jana tangu asubuhi nampigia sim, hapokei SMS zangu hajibu, WhatsApp na Jf online namuona, namtext hanijibu
Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana
Sijui kwa nini?