Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Walaka uzingatiweTahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment
Kichwa na macho nikiangalia yanaumaUnaumwa vibaya sana halafu kama unachoka choka tena????????
Nyoosha maelezo vizuri,, ni kiungo kipi mwilini mwako kinauma sana????
Ushauri mzuri huuTafuta ndugu zako kijijini uende, kaa kwa siku hata 4 ukitembea peku, zima simu, kula chakula safi na ule mlo mmoja kwa siku kati ya saa 7 mchana - 12 jioni, lala chini usitumie kitanda na ulale mapema na kuamka mapema, saidia kazi ndogondogo uwe active.
Unaishi sehemu yenye usasa sana, toka kwa siku kadhaa ukajikonect na dunia.
Ni kweliUshauri mzuri huu
Sina deni vikoba ni songesha,nimepimwa labda nimemmiss mkweNenda ukapime Malaria na wingi wa damu
Vipi lakini hauna madeni kwenye Vikoba vyenu Mjukuu?
Au mara ya mwisho kumtembelea boyfriend yako ni lini? Usikute ni homa ya kummisi Mkwe 🤗
Kinachokusumbua ni upweke (kutokuwa na mtu sahihi wa kujenga naye familia). Ndiyo maaa unaona hayo magonjwa yanajitokeza hata hujui yametokea wapiKichwa na macho nikiangalia yanauma
Pole Mjukuu, Fanya mpango umtembelee boyfriend yako weekend hii.Sina deni vikoba ni songesha,nimepimwa labda nimemmiss mkwe
choo chako kikoje?Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini??
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment
Kisafi kiasichoo chako kikoje?
unafanya kazi ya kutoa jasho au kawaida?Kisafi kiasi
Kawaida mara chache natembea tembeaunafanya kazi ya kutoa jasho au kawaida?
siku zako za hedhi hazikusumbui?? yan mzunguko wako uko stable au haueleweki?Kawaida mara chache natembea tembea
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini?
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Jaribu kupima VVUNaumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini?
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.