Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

Fanya mazoezi.
Toka out...nenda sehemu unazopendelea...ukiwa na shem itakuwa poa zaidi.
Punguza mawazo
Angalia utaratibu wako wa lishe...mfuatilie dr. Janabi.
 
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.

Sina kachanga sina presha ni nini?

Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Get well soon
 
Damu haipungui mwilini!!?

Umepima pressure!!?
Unaniogopesha ujue!
 
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.

Sina kachanga sina presha ni nini?

Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Pole rafiki mzuri, naomba Niku pm tu badilishane namba Kisha nikupigie, usijali Kila kitu kitakuwa sawaa
 
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.

Sina kachanga sina presha ni nini?

Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Punguza kula mboga za majani unadamu nyingi halafu nataka kukuuliza swali umeolewa?
 
Wamekwambia huenda ni nini ? (Like I said naweza nikaja na magonjwa hamsini yenye dalili zako ila isiwe hicho) Kwahio ni mwendo wa elimination hospital wamekupima nini au wamekuuliza kuhusu nini na nini hawajakuuliza

Anemia
Sleep apnea
Depression
Chronic fatigue syndrome
Insomnia
Diet
Dehydration
Fibromyalgia
Poor diet
Anxiety
Inadequate physical activity
Pregnancy
Stress
Arthritis
Autoimmunity
Eating disorder
Hormonal fluctuations
Wamesema hakuna kitu
 
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.

Sina kachanga sina presha ni nini?

Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Pole sana,hapo ujue gari imetumika sana.
Babaako kuna kipindi silali wiki mpk nalia.
Sijui jamaa walinipa dawa gani,sa hii kulala wiki 2 kawaida tu sitaki kuona mchepuko wala mbususu. Niko mbonji.
Ila nikiamua marathon wanaipata.
Ila hizo mechi tumeweka pozi kidogo.
 
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.

Sina kachanga sina presha ni nini?

Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Umepima Sukari, Vidonda vya Tumbo, Figo, Moyo?
 
Back
Top Bottom