Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

Kama kweli unaumwa mwili na kuchoka mara kwa mara. Baci njia rahisi ni kujifukiza mvuke. Piga nyungu iliotimia utarudi kutuhadisia.
Lakini kama umeandika uzi wako huu kwa dhihaka baci na ww mungu atakudhihaki na kukuswarifu...
Sahih kabisa kwa kifupi Akacheki Corona Watu wanajifanya hawaelewi
 
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.

Sina kachanga sina presha ni nini?

Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Urefu wako? Uzito wako? Nitumie DM
 
Kisukari , UTI, Low blood pressure, prosela, acid reflux, uric acid, typhoid, TB, Pima pressure ya macho , Pima full blood
 
yaweza kuwa malaria kapime kwa microscope,achana na MRDT
 
Back
Top Bottom