Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #61
Pole ndugu yangu ndo maana Mimi sitibiwi hosp ndogo .nilishawai kunusurika kufa huko.mimi.ni muhimbili Tu sina hela ila afya muhimu aiseePole sana Miss!
Mi jumatano jioni hali ilibadilika gafla nikaenda hospital wakanipima wakasema naumwa(......), Nikachomwa sindano nne nkapewa vidonge lakini sikupata nafuu jumapili mchana nikapima tena nikachomwa sindano lakini sikupata nafuu Leo asubuhi nguvu ziliniishia mda naswaki nkaenda private Moja chap baada ya vipimo walichoongezea ni kwamba damu imezidi
Nipo kitandan nageuka geuka hapa
Polee nilikua nahizi dalili piaa nikakutwa na typhoid fever.. Nenda hospital kacheki nini shidaToka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Pole SanaKama kuna mtu ana mgonjwa au amelazwa mloganzila aje pm nichukulie hata matunda jamani.au misosi anything
Ndo naondoka home
Ila Niko hoooi
Aisee kuwa single sio
Pamoja na kua Mimi ni mdau wa afya mwandamizi senior.
Sipendi kumeza dawa kabisa wiki mbili Sasa nasumbuliwa na mafua na kikohozi..
Hapa naendea mwishoni mwishoni Ila Kuna siku nimebabwa Sanaa Sanaa ijumaa, jumamos, jumapili Hali ilikua mbaya mpaka nikaogopa
Nikatengeneza nyungu nikajifukiza pia nikatengeneza asali,tangawizi,kitunguu swaumu nikawa nakunywa
Pia jion moja Nikachukua spirit alcohol nikanywa vizibo vitatu kufungua kifua yaan at least by now nipo powa Ila nawasiwasi hii itakua ni COVID-19
Pole Sana mkuu nenda hospital ukapate tiba.
Covid 19 for sure bado io.. Maana kuna muda kana pita kaupepo hivi watu kadhaa mnajikuta mnaumwa kaugonjwa hakaeleweki na kana dalili moja😂 in a week or two kana potea.Pamoja na kua Mimi ni mdau wa afya mwandamizi senior.
Sipendi kumeza dawa kabisa wiki mbili Sasa nasumbuliwa na mafua na kikohozi..
Hapa naendea mwishoni mwishoni Ila Kuna siku nimebabwa Sanaa Sanaa ijumaa, jumamos, jumapili Hali ilikua mbaya mpaka nikaogopa
Nikatengeneza nyungu nikajifukiza pia nikatengeneza asali,tangawizi,kitunguu swaumu nikawa nakunywa
Pia jion moja Nikachukua spirit alcohol nikanywa vizibo vitatu kufungua kifua yaan at least by now nipo powa Ila nawasiwasi hii itakua ni COVID-19
Pole Sana mkuu nenda hospital ukapate tiba.
Lakini sindano-binadamu mwenzio unaikubaliMe na sindano hapana mkuu
Mimba sina.kabisa.Mbona kama ni dalili ya Mimba Mkuu 😜
By the way, hakuna ugonjwa unaoweza kutibika pasipo kujulikana.
Vyema ukapime ili kujua undani wa tatizo lako.
Tunaishi kwenye kipindi ambacho, maradhi yamekuwa mengi katika Jamii zetu.
Na tusipochukua tahadhali za kutibu, Mlo kamili pamoja na ratiba ya kufanya mazoezi ya mwili, Kwa kweli life expectancy yetu, inashuka haraka mno.
Pole sana
Kuna mrembo mmoja naye nilimsikia akiongea hivyo, kwamba ana hamu ya kuliwa na Mwamba BalthazarMimba sina.kabisa.
Nimemuhifadhia. Baltazar
Yule jamaa ni hazinaKuna mrembo mmoja naye nilimsikia akiongea hivyo, kwamba ana hamu ya kuliwa na Mwamba Balthazar
Wewe unakuwa mtu wa pili kukusikia
Kwasababu hizo, ninayo sababu ya kupeleka ombi maalumu Ofisi KUU, wafanye Kila inavyowezekana kumzuia huyo Balthazar kuja Bongo
Tumeshagongewa sana Wapenzi wetu na Bodaboda, inatosha sasa 😅
Covid 19 for sure bado io.. Maana kuna muda kana pita kaupepo hivi watu kadhaa mnajikuta mnaumwa kaugonjwa hakaeleweki na kana dalili moja😂 in a week or two kana potea.
Pole mkuu usikute Nina COVID mwenzenuMpaka Sasa nipo isolated na familia yangu haya mafua sio ya kawaida kabisa kabisa
Hivi kama Una COVID na ukanyonyesha hakuna shida?Mpaka Sasa nipo isolated na familia yangu haya mafua sio ya kawaida kabisa kabisa
Chukua tahadhari tuu na usafi wako, lakini kunyonyesha ni vizuri zaidi maana maziwa ya mama yana virutubisho vingi vinavyoweza kuwa kinga kwa huyo mtoto.Hivi kama Una COVID na ukanyonyesha hakuna shida?
First impression utawaziaKw
Kwahiyo na wewe mtu akimwambia hivyo first treatment ni powercef?
Pole rafiki kuna mlipuko mkubwa kitaa wa homa zisizoelewekaToka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu