Naumwa naombeni msaada

Naumwa naombeni msaada

Kama kuna mtu ana mgonjwa au amelazwa mloganzila aje pm nichukulie hata matunda jamani.au misosi anything
Ndo naondoka home
Ila Niko hoooi
Aisee kuwa single sio
 
Pole sana Miss!

Mi jumatano jioni hali ilibadilika gafla nikaenda hospital wakanipima wakasema naumwa(......), Nikachomwa sindano nne nkapewa vidonge lakini sikupata nafuu jumapili mchana nikapima tena nikachomwa sindano lakini sikupata nafuu Leo asubuhi nguvu ziliniishia mda naswaki nkaenda private Moja chap baada ya vipimo walichoongezea ni kwamba damu imezidi

Nipo kitandan nageuka geuka hapa
Pole ndugu yangu ndo maana Mimi sitibiwi hosp ndogo .nilishawai kunusurika kufa huko.mimi.ni muhimbili Tu sina hela ila afya muhimu aisee
 
Mbona kama ni dalili ya Mimba Mkuu 😜

By the way, hakuna ugonjwa unaoweza kutibika pasipo kujulikana.

Vyema ukapime ili kujua undani wa tatizo lako.

Tunaishi kwenye kipindi ambacho, maradhi yamekuwa mengi katika Jamii zetu.

Na tusipochukua tahadhali za kutibu, Mlo kamili pamoja na ratiba ya kufanya mazoezi ya mwili, Kwa kweli life expectancy yetu, inashuka haraka mno.

Pole sana
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Polee nilikua nahizi dalili piaa nikakutwa na typhoid fever.. Nenda hospital kacheki nini shida
 
Pamoja na kua Mimi ni mdau wa afya mwandamizi senior.

Sipendi kumeza dawa kabisa wiki mbili Sasa nasumbuliwa na mafua na kikohozi..

Hapa naendea mwishoni mwishoni Ila Kuna siku nimebabwa Sanaa Sanaa ijumaa, jumamos, jumapili Hali ilikua mbaya mpaka nikaogopa

Nikatengeneza nyungu nikajifukiza pia nikatengeneza asali,tangawizi,kitunguu swaumu nikawa nakunywa

Pia jion moja Nikachukua spirit alcohol nikanywa vizibo vitatu kufungua kifua yaan at least by now nipo powa Ila nawasiwasi hii itakua ni COVID-19

Pole Sana mkuu nenda hospital ukapate tiba.
 
Eneo nililopo kuna cemetery place , watu wanaletwa Sana means huu upepo wa Cov unaondoka na watu

Taadhari za Afya ni muhimu kuendelea kuchukuliwa.
 
Pamoja na kua Mimi ni mdau wa afya mwandamizi senior.

Sipendi kumeza dawa kabisa wiki mbili Sasa nasumbuliwa na mafua na kikohozi..

Hapa naendea mwishoni mwishoni Ila Kuna siku nimebabwa Sanaa Sanaa ijumaa, jumamos, jumapili Hali ilikua mbaya mpaka nikaogopa

Nikatengeneza nyungu nikajifukiza pia nikatengeneza asali,tangawizi,kitunguu swaumu nikawa nakunywa

Pia jion moja Nikachukua spirit alcohol nikanywa vizibo vitatu kufungua kifua yaan at least by now nipo powa Ila nawasiwasi hii itakua ni COVID-19

Pole Sana mkuu nenda hospital ukapate tiba.
Covid 19 for sure bado io.. Maana kuna muda kana pita kaupepo hivi watu kadhaa mnajikuta mnaumwa kaugonjwa hakaeleweki na kana dalili moja😂 in a week or two kana potea.
 
Mbona kama ni dalili ya Mimba Mkuu 😜

By the way, hakuna ugonjwa unaoweza kutibika pasipo kujulikana.

Vyema ukapime ili kujua undani wa tatizo lako.

Tunaishi kwenye kipindi ambacho, maradhi yamekuwa mengi katika Jamii zetu.

Na tusipochukua tahadhali za kutibu, Mlo kamili pamoja na ratiba ya kufanya mazoezi ya mwili, Kwa kweli life expectancy yetu, inashuka haraka mno.

Pole sana
Mimba sina.kabisa.
Nimemuhifadhia. Baltazar
 
Mimba sina.kabisa.
Nimemuhifadhia. Baltazar
Kuna mrembo mmoja naye nilimsikia akiongea hivyo, kwamba ana hamu ya kuliwa na Mwamba Balthazar

Wewe unakuwa mtu wa pili kukusikia

Kwasababu hizo, ninayo sababu ya kupeleka ombi maalumu Ofisi KUU, wafanye Kila inavyowezekana kumzuia huyo Balthazar kuja Bongo

Tumeshagongewa sana Wapenzi wetu na Bodaboda, inatosha sasa 😅
 
Yule jamaa ni hazina
Mbinguni moja kwa moja
 
Mpaka Sasa nipo isolated na familia yangu haya mafua sio ya kawaida kabisa kabisa
Covid 19 for sure bado io.. Maana kuna muda kana pita kaupepo hivi watu kadhaa mnajikuta mnaumwa kaugonjwa hakaeleweki na kana dalili moja😂 in a week or two kana potea.
 
Kw
Kwahiyo na wewe mtu akimwambia hivyo first treatment ni powercef?
First impression utawazia
Malaria ambayo tumeitoa sababu we are almost 0 malaria mjini
Second ni Infection Na kwa hapa mjini most of cases ni Bacteria infection
Ceftriaxone sababu hatujaidentify ni bacteria gani (yenyewe ni wide spectrum antibiotic)
pia ceftriaxone sabab ataipata kirahisi na kwa gharama nzuri

Na akitumia hii atapona hutaki basi
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Pole rafiki kuna mlipuko mkubwa kitaa wa homa zisizoeleweka
 
Back
Top Bottom