Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Nkuda saa Mmassy ako?
Kido tubu Mushi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkuda saa Mmassy ako?
Kwani katembea na mamako?Lissu kachemka sana na wewe kamanda unazidi kumpalia mkaa aendelee kuchemka.
Haya ndiyo chaguo lenu makamanda msiyo na depo
Maghufuli akishinda, ina maana watanzania wengi wana mambo ya kishetani, jambo ambalo sikubaliani nalo hata kidogo. Watanzania ni watu wenye huruma na ubinadamu. Kenya wenyewe huwa tunawashangaa!Ni mtu mjinga asiyetambua kuwa upande ule mwingine Kuna kivuli Cha ushetani kimewavaa .
Wana mioyo ya ajabu yenye chuki kisa tu madaraka .
Ubinadamu umeachwa mbali .
Hawa watu wanadhani wataishi milele Wala hawajui kitakachowapata wajukuu zao .
Tangulizeni ubinadamu Basi
Kazi na dawa.Kazi anayo kubwa aisee kama ataamua kiwa mwl wa uraia
Maana kila anakopita lazima amwage notes kwa wananchi huku wenzake wakichanja mbuga kumwaga sera zaoo hahahaaa
Ualimu sio kazi nyepesi mjue, hadi wakuelewe watu ushapoteza muda mwingi wa kumwaga sera haahaaaa,
Lisu inabidi aachane na Uraisi ili aitumikie nafasi ya ualimu vyema aisee
Sijataja jina hapa usiletee Mambo ya kiduanziMaghufuli akishinda, ina maana watanzania wengi wana mambo ya kishetani, jambo ambalo sikubaliani nalo hata kidogo. Watanzania ni watu wenye huruma na ubinadamu. Kenya wenyewe huwa tunawashangaa!
Yah huyu mzee alifariki kwa ajali ya ndege huko mikoa ya nyanda za juu kusini km sijakosea!Sikujua kwamba aliyemuwahisha TL hospitali ni binti wa Mzee Juma Jamaldin Akukweti[r.i.p].
Juma Akukweti alikuwa mbunge wa Tunduru na alipata kuhudumu ktk serikali za Raisi Mkapa.
Huyo binti alikuwa msaidizi wa TL ktk bunge la 2010 to 2015, na sasa hivi ni msaidizi wa Dr.Tulia Ackson.
Sasa huyu binti wa Akukweti alikwenda kuitwa na msaidizi wa nyumbani wa TL, na pamoja na dereva, wakamkimbiza hospitali.
Bila msaada wa haraka wa hao watatu, nadhani tungekuwa tunazungumza habari nyingine leo.
Yote hayo hata mimi sikuyafahamu. Pia sikufahamu kuwa serikali ya Kenya ilimpatia ulinzi rasmi.Sikujua kwamba aliyemuwahisha TL hospitali ni binti wa Mzee Juma Jamaldin Akukweti[r.i.p].
Juma Akukweti alikuwa mbunge wa Tunduru na alipata kuhudumu ktk serikali za Raisi Mkapa.
Huyo binti alikuwa msaidizi wa TL ktk bunge la 2010 to 2015, na sasa hivi ni msaidizi wa Dr.Tulia Ackson.
Sasa huyu binti wa Akukweti alikwenda kuitwa na msaidizi wa nyumbani wa TL, na pamoja na dereva, wakamkimbiza hospitali.
Bila msaada wa haraka wa hao watatu, nadhani tungekuwa tunazungumza habari nyingine leo.
Naam, hii ya ufisadi asiache hata kidogo. Bado yule mkaguzi mkuu wa serikali aliyegunduwa ufisadi hajazungumziwa. Watanzania hawakuruhusiwa kuongea lolote maana kesi za uhujumu na kupotezwa ni kawaida kabisa na ccm huwa wanafurahia na kuchekelea. Sijui ni watanzania wa aina gani hawa?🤦🏾♂️Arejeshe na ajenda ya kupambana na ufisadi, ccm wanafanya kampeni kwa pesa ya ufisadi trillioni 1.5 na pesa ya vitambulisho vya machinga.
Lisu yuko very focused na strategic. Wafungue mawazo/fikra watu kwanza wajitambue kuwa wanaonewa! , ni watumwa, HAKI ZAO ZA BINADAMU ZIMEKUFA etc, then baadaye tandaza sera! AU awe anaanza na sera, then dakika 20 za mwisho ni kuwafungua watu wanavyonewa, wanavyoibiwa na Jiwe, wanavyokosa haki zao etc etc
..amewataja Khadija Akukweti, Amina Abrahman Kanyama, na Adam Mohamed Bakari, ndio waliomuwahisha hospitali Dodoma.