Naunga mkono awamu ya 6 kuwarudisha wazee kwenye uongozi. Awamu ya 5 vijana wengi walikuwa VIFUTU

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.

Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k

Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.

Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
 
Mtu kuambiwa tu wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, ghafla anakuwa Mwanajeshi/Polisi/Hakimu/Bwana Jela?
 
"Babaaaa... Pesa, madaraka na umaarufu ona umewapatia vijana sasa wanakosa hekima na utu" -ROMA

Hii ni kweli vijana wengi waliaminiwa na bwana yule lkn wakaishia kua wavimbaji, wapenda sifa na ulevi wa madaraka.

Vetting ni muhimu sana, hizi teuzi mtu anaamka tu na kumteua kijana wa hovyo kisa chawa msifia chama na viongozi naona ndio mwiba ktk nchi hii.
 
Zile mbwa ziligeuzwa na ulimbukeni tu. Washamba wa madaraka na wakatiwa ushetani zaidi na kiongozi mkuu aliyesema alikuwa hana mpango wa Urais!-- Naye akisumbuliwa na ushamba wa urais. Ukawa ushetani mtindo mmoja.
 
Na hao wakina Babu wakifa succession plan inakuaje?
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.

Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k

Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.

Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
 
Na hao wakina Babu wakifa succession plan inakuaje?
Ninayo imani wako vijana waadilifu wasio na mihemko wengi sana! Kama kiongozi wa juu akionyesha nia ya uongozi bora- Hebu ona Hussen Mohamed Bashe alikuwa wapi? Aliishia kutekwa tu na yule pepo.
 
Shida ya vijana ni kufanya mambo ili kupata bounty kutoka kwa watawala hivyo kuharibu sifa na taswira ya vijana wenye sifa stahiki
 
Mtu kuambiwa tu wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, ghafla anakuwa Mwanajeshi/Polisi/Hakimu/Bwana Jela?
Hahahaha! Tena anakuwa major general kabisa
 
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.

Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k

Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.

Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Ww kama kijana utafanya kazi gani sasa!!??
ama ndio utaishia mitandaoni humu?
 
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.

Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k

Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.

Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Kifutu ni nani?
 
Awamu hi ni ya5 rais wa6.Unaposema awamu ya6 ni sawa na ktk mchezo wa mpira wenye dk90 et kwakuwa wacheyaji wamepumzika baada ya dk45 za kwanza wanapoingia tena uwanjani useme mechi nyingine inakuja?
 
Kama vijana wenyewe ndiyo sampuli ya Babu Tale bora tu hao shikamoo jazz
 
Ninayo imani wako vijana waadilifu wasio na mihemko wengi sana! Kama kiongozi wa juu akionyesha nia ya uongozi bora- Hebu ona Hussen Mohamed Bashe alikuwa wapi? Aliishia kutekwa tu na yule pepo.
Bashe si alikiwa naibu waziri au?
 
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.

Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k

Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.

Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Huyo Mr. Kunja ni hatari sana, ni chui mwenye sura ya kondoo ambaye wakati mwingine hutoa machozi kutafuta public sympathy- Ni sehemu ya watu walio-engineer maovu makubwa nchi hii bila kuji-expose publicly sana but deep down ni shida.
 
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.

Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k

Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.

Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Kweli aisee. Ile awamu walikuwa anatembea na Mapangashaa, vusu na miguu ya kuku tu. Ukitofautiana naye tu kidogo unakula mvua au keshi ya ubakaji.

Ndio maana wazee lazima waendelee kula nchi. Sisi vijana tusubiri tuzeeke kwanza.
 
Back
Top Bottom