Mtu kuambiwa tu wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, ghafla anakuwa Mwanajeshi/Polisi/Hakimu/Bwana Jela?Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Ninayo imani wako vijana waadilifu wasio na mihemko wengi sana! Kama kiongozi wa juu akionyesha nia ya uongozi bora- Hebu ona Hussen Mohamed Bashe alikuwa wapi? Aliishia kutekwa tu na yule pepo.Na hao wakina Babu wakifa succession plan inakuaje?
Rais, mgambo sungusungu yaani vurugu tupuMtu kuambiwa tu wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, ghafla anakuwa Mwanajeshi/Polisi/Hakimu/Bwana Jela?
Hahahaha! Tena anakuwa major general kabisaMtu kuambiwa tu wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, ghafla anakuwa Mwanajeshi/Polisi/Hakimu/Bwana Jela?
Ww kama kijana utafanya kazi gani sasa!!??Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Hahaha! Hapo kwenye pepo hapo pamenibariki sanaHebu ona Hussen Mohamed Bashe alikuwa wapi? Aliishia kutekwa tu na yule pepo.
Sasa kama mnapewa madaraka halafu mnageuka mashetani hadi mnatuharibia. Tutafanyaje? Acha tubakie wapiga zomali tuWw kama kijana utafanya kazi gani sasa!!??
ama ndio utaishia mitandaoni humu?
Kifutu ni nani?Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Awamu hi ni ya5 rais wa6.Unaposema awamu ya6 ni sawa na ktk mchezo wa mpira wenye dk90 et kwakuwa wacheyaji wamepumzika baada ya dk45 za kwanza wanapoingia tena uwanjani useme mechi nyingine inakuja?Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Bashe si alikiwa naibu waziri au?Ninayo imani wako vijana waadilifu wasio na mihemko wengi sana! Kama kiongozi wa juu akionyesha nia ya uongozi bora- Hebu ona Hussen Mohamed Bashe alikuwa wapi? Aliishia kutekwa tu na yule pepo.
Huyo Mr. Kunja ni hatari sana, ni chui mwenye sura ya kondoo ambaye wakati mwingine hutoa machozi kutafuta public sympathy- Ni sehemu ya watu walio-engineer maovu makubwa nchi hii bila kuji-expose publicly sana but deep down ni shida.Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Kweli aisee. Ile awamu walikuwa anatembea na Mapangashaa, vusu na miguu ya kuku tu. Ukitofautiana naye tu kidogo unakula mvua au keshi ya ubakaji.Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.