BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
It's my opinion too serikali ibinafsishweKuwaachia kila kitu wawekezaji maana yake tunakiri hatuwezi kujitawala, ni bora tumrudishe mkoloni arudi kwasababu naamini kabisa, jinsi mambo yanavyoendelea serikalini kwa sasa, pia tunahitaji kuibinafsisha serikali yetu.
Hivyo sioni sababu tuendelee kuwaza kubinafsisha vitu vidogo dogo, wakati kule juu penye tatizo la msingi tunaendelea kupaacha kama palivyo, kumbe inawezekana hata vichwa vyetu pia vinatakiwa kubinafsishwa, kwasababu fikra zetu nazo ni mgando.
Watanzania ni wezi imeshindikana kuwadhibiti kutokana na aina ya viongozi iliyopo na wanalindana sana kwenye wizi wao hivyo serikali haipati pesa zinazo stahiLi kupitia badari bora kuwapa wawekezaji tuuUK siyo nchi ya kijamaa ila inaongoza kwa kuwa na mashirika ya umma
Magufuli mwenyewe alishindwa achana na porojo zakeTatizo sio kubinafsisha, tatizo ni yale unayoyataria baada ya kubinafsisha yatapatikana...
Basi kama Watanzania ni wezi naunga na mtu moja hapo juu kasema Serekali ndio ibinafasishwe kwasabu kuanzia Raisi Mawaziri wafanyakazi wote Watanzania ambao umesema ni wezi.Watanzania ni wezi imeshindikana kuwadhibiti kutokana na aina ya viongozi iliyopo na wanalindana sana kwenye wizi wao hivyo serikali haipati pesa zinazo stahiLi kupitia badari bora kuwapa wawekezaji tuu
Hio Bandari ya Dar kama ingejengwa ya Baganoyo na ya Bagamoyo ikawa ni private na ya Dar ikawa ni ya Serikali bila shaka meli zingehamia Bagamoyo na ya Dar ingekuwa kama TTCL now.Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na usha kuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji...
Hata mimi kwa hili naunga mkono zaid ya 1000000% serikali inashindwa kuwasimamia watu iliyo waajir yenyeweBasi kama Watanzania ni wezi naunga na mtu moja hapo juu kasema Serekali ndio ibinafasishwe
Sasa hapa Tatizo ni bandari au ni Serekali?Hio Bandari ya Dar kama ingejengwa ya Baganoyo na ya Bagamoyo ikawa ni private na ya Dar ikawa ni ya Serikali bila shaka meli zingehamia Bagamoyo na ya Dar ingekuwa kama TTCL now.
H
Hata mimi kwa hili naunga mkono zaid ya 1000000% serikali inashindwa kuwasimamia watu iliyo waajir yenyewe
Linalo wezekana ndio linalo fanyika bora chongo kuliko kukosa kabisaSasa hapa Tatizo ni bandari au ni Serekali?
Huna uzalendo kwa nchi yako hata robo inawezeka wewe ni mterahamwe sio rai wa Tanzania.Linalo wezekana ndio linalo fanyika bora chongo kuliko kukosa kabisa
Kwanini tusibinafsishe CCM kwanza ili tuone ufanisi serikalini utakuaje!Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaj....
Kwaiyo hiyo kampuni mnataka kubinafsisha itakuja na wafanyakazi wake?Bandari pale kila mtu anafikiria kuiba tu
Ova