Naunga mkono suala la kubinasifisha Bandari ya Dar es Salaam

Ukweli kubinafsishwa sioni kama ni busara. tuone mfumo wa uendeshaji mashirika ya umma ndio tatizzo kubwa, ubadilike, isaidie kuwabana wateule au uongozi wake. Hivi hakuna kiongozi anayeumia kwa kuchagua fisadi eti kwa sababu unamfahamu au anafahamia na wapambe wako.

Turudi kwa Rais kwa Rais Mkapa, ili kiongozi aombe, na kweka vigezo vya utekelezaji; kwamba kila mwaka anapimwa kwa utekelezaji wake na kamati maalum ya usimamizi wa mashirika ya umma. Kila shirika lijulikane madhaifu yake ya kuboresha.
 
MALI ZA UMMA ZINAZOKUWA CHINI YA SEREKALI ZILE ZA KIBIASHARA NDIO MLANGO MKUU WA WIZI WA MALI ZA UMMA.
 
Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji.

Mashirika ya umma kama Bandari, Tanesco, Maji, sijui Posta, TTCL, ATCL, na zinitakiwa kuingia sokoni kuuzwa

Mali za umma zinazokuwa chini ya serekali zile za kibiashara ndio mlango mkuu wa wizi wa rasilimali za umma, makampuni ya kibiashara yenye uzoefu yanayokizi vigezo yanayoweza kujikomit katika faida mara 2 au 3 zaidi ya faida ya awali na kuandapafom ikawa ndio kigezo cha mkataba kuvunjika yakaribishwe kwa mikono miwili.
 
Akili za hovyo kabisa hizi, kwa hiyo furaha yako uwape wageni wakuendeshee mambo yako wewe uendelee na story za pwagu na pwaguzi kwenye kijiwe cha kahawa. Kama mnataka kubinafsisha kwa nini msiwambie watanzania wenyewe waunde makampuni waiendesha, au ndo ule jenerali Ulimwengu aliuita ugenishaji.​
Sijaona mahali mtoa mada amesema wapewe wageni.yeye kazungumzia kubinafsisha.punguza mihemko.
 
Jinga Kabisa lisiloelewa chochote. Soma basi hata diploma ya economics. Ukisoma huwezi kuwa na akili mgando kama hii
Kuwaachia kila kitu wawekezaji maana yake tunakiri hatuwezi kujitawala, ni bora sasa tumrudishe mkoloni arudi kwasababu naamini kabisa, jinsi mambo yanavyoendelea serikalini kwa sasa, pia tunahitaji kuibinafsisha serikali yetu.

Hivyo sioni sababu kwanini tuendelee kuwaza kubinafsisha vitu vidogo dogo, wakati kule juu penye tatizo la msingi tunaendelea kupaacha kama palivyo, alaah, kumbe inawezekana hata vichwa vyetu pia vinatakiwa kubinafsishwa, kwasababu fikra zetu nazo ni mgando.
 
Natafuta kosa lake lililofanya useme asome hata dip ya uchumi lakini silioni
Kwanza we mwenyewe una elimu yoyote ya uchumi? Isijekuwa unatafuta Kosa lake in a layman's search. Ukitafuta Kosa lake wakati hata hujui Kosa ni Nini huwezi kuliona
 
Huna uzalendo kwa nchi yako hata robo inawezeka wewe ni mterahamwe sio rai wa Tanzania.
Sidhani kama mimi naweza kuwa sio mzalendo zaidi ya hao wanao utangaza uzalendo kwenye majikwaa wakati wanatorosha fedha na mali za nchi yetu ughaibuni.
 
Mali za umma zinazokuwa chini ya serekali zile za kibiashara ndio mlango mkuu wa wizi wa rasilimali za umma, makampuni ya kibiashara yenye uzoefu yanayokizi vigezo yanayoweza kujikomit katika faida mara 2 au 3 zaidi ya faida ya awali na kuandapafom ikawa ndio kigezo cha mkataba kuvunjika yakaribishwe kwa mikono miwili.
Ukweli ni kwamba hawa watu wanakuja na sababu za kijinga eti bora bandari ibinafsishwe kwasaba watanzania ni wezi jambo ambo sio kwrli

ni hivi mashirika ya umma na mamlaka yamejaa makada wa ccm unategemea nini

kumaliza huuu ujinga inatakiwa Watanzania tuamke asubuhi tuamasishane wote nchi nzima tuitoe ccm bilakukupepesa macho lasivyo tuendelee kuvuna mabua.

Kisha tumuweke mtu kama Tundu Lissu awaminye kende watapike malizo zote walizoiba tangu uhuru hadi leo tuakikishe wanarudisha kila kitu cha Taifa hili
 
Kuwaachia kila kitu wawekezaji maana yake tunakiri hatuwezi kujitawala, ni bora sasa tumrudishe mkoloni arudi kwasababu naamini kabisa, jinsi mambo yanavyoendelea serikalini kwa sasa, pia tunahitaji kuibinafsisha serikali yetu.

Hivyo sioni sababu kwanini tuendelee kuwaza kubinafsisha vitu vidogo dogo, wakati kule juu penye tatizo la msingi tunaendelea kupaacha kama palivyo, alaah, kumbe inawezekana hata vichwa vyetu pia vinatakiwa kubinafsishwa, kwasababu fikra zetu nazo ni mgando.
Wanyama tunaofanana na binadamu...Hatujui tunataka nini, tunaweza nini na tutakipata wapi...Ipo shida kwa watanzania, a big mental problem...Hao wanaotaka vitu vyote vibinafsshwe hawataki kuachia nafasi ili wenye kuweza waonyeshe njia...What a complex situation!
 
Wezi bado mnabuni tu namna ya kuitafuna nchi,kumbukeni hatazikwa na hela.
Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji.

Mashirika ya umma kama Bandari, Tanesco, Maji, sijui Posta, TTCL, ATCL, na zinitakiwa kuingia sokoni kuuzwa.

Hiyo Bandari ya Dar kama ingejengwa ya Baganoyo na ya Bagamoyo ikawa ni private na ya Dar ikawa ni ya Serikali bila shaka meli zingehamia Bagamoyo na ya Dar ingekuwa kama TTCL now.

Tanesco angali utendaji wao, lazima wafuatwe offisini uwe unajuama na mfanya kazi mmoja wapo, na sio tu kufuatana na kuwapa rushwa juu, sasa ingekuwa inasimamiwa na watu weupe unazani kungekuwa na kufuatana offisini?

Angalia TTCL haijulikani kazi zao kwa sasa, hivi TTCL ilikuwa ni ya kushindwa hadi na wakina Haloteli? TTCL ilipaswa kuwa sawa na Vodacom, ila Kwa sababu ni Mali ya Umma hakuna anaye jali pale na imejaa wafanya kazi wengi kuliko ufanisi na hakuna anajali.

Mamlaka za maji zimejaa upigaji tupu, unafuatilia kuunganishiwa maji hadi unachoka na lazima uhonge la sivyo hutakaa uunganishiwe maji.

Kwani Bandari ikikodishwa hao wanao kodisha watakuja kuondoka nayo? Wataihamisha? Tuachane na ujamaaa
 
Naunga mkono hoja 100 %
 
Ukweli ni kwamba hawa watu wanakuja na sababu za kijinga eti bora bandari ibinafsishwe kwasaba watanzania ni wezi jambo ambo sio kwrli

ni hivi mashirika ya umma na mamlaka yamejaa makada wa ccm unategemea nini

kumaliza huuu ujinga inatakiwa Watanzania tuamke asubuhi tuamasishane wote nchi nzima tuitoe ccm bilakukupepesa macho lasivyo tuendelee kuvuna mabua.

Kama hiyo ndio sababu ya kubinafsisha kwamba suluhisho la wezi haliko basi dawa ni tubinafsishe. Na ijulikanetu kuwa mtajikuta aah kumbe tunatakiwa tuanze na kubinafsisha serikali na taasisi zake zote ikiwemo mihimili ya dola.
 
Kuwaachia kila kitu wawekezaji maana yake tunakiri hatuwezi kujitawala, ni bora sasa tumrudishe mkoloni arudi kwasababu naamini kabisa, jinsi mambo yanavyoendelea serikalini kwa sasa, pia tunahitaji kuibinafsisha serikali yetu.

Hivyo sioni sababu kwanini tuendelee kuwaza kubinafsisha vitu vidogo dogo, wakati kule juu penye tatizo la msingi tunaendelea kupaacha kama palivyo, alaah, kumbe inawezekana hata vichwa vyetu pia vinatakiwa kubinafsishwa, kwasababu fikra zetu nazo ni mgando.
kubinafsisha kupo kwa aina mbili. mojawapo ni kuwapa watu wa ndani na aina nyingine ni kuwapa wawekezaji wa nje. Hapa kweli tunaweza kuwawezesha wawekezaji wetu wa ndani na kuisimamia bandari na mashirika mengine yakaendeshwa kwa tija na kwa faida zaidi kuliko kuiachia serikali wakati kila mwaka mwaka wanazalisha hasara tu. serikali ibaki kwenye majukumu yake ya msingi ambayo ni kutoa huduma za msingi na kudhibiti ubora wa huduma na viwango pamoja na kukusanya kodi katika hizo taasisi.
 
Tumpe Kagame aliyesema alipewa bandari ya dar es salaam anaweza kulisha east Afrika

..Kagame ana bandari kavu ambayo amewapa Dubai Port wamuendeshee.

..Pia Kagame ameshindwa kuendesha shirika la ndege, kapata hasara kila mwaka. RwandaAir imeingia ubia na Qatar Airways.

NB:

..kinachonitatiza ni kwamba tumekimbilia kwa Dubai Port na hakukuwa na ushindani ktk kupata muwekezaji.
 
Back
Top Bottom