hizi bandari tangu Uhuru Hadi Sasa , tumezoea kusikia upigani wa kufuru unaofanywa/uliokuwa ukifanywa na ma boss plus wafanya biashara wakubwa. aise just imagine ofisa wa kawaida tu , anaweza kwa siku akatengeneza hata 10 mil per day, Sasa huyo ni mmoja , acha Sasa wale ma done , tra.
rafiki yangu mmoja , yeye Yuko madini , Sasa miaka ya 2013 ,waliwahi kutengeneza mchongo wa 20mil, ndani ya dk 45 hivi , pale pale bandarini kwa ujanja ujanja tu. kiufupi ile bandari ilikuwa ni mradi wa watu , kujipatia utajiri fast fast.
NI heri tumpe mwarabu asimamie huenda tutapata faida . Isipokuwa vifungu tatanishi vya mkataba viangaliwe kwa kina na kurekebisha .