Tulijaribu kubinafsisha mashirika hapo nyuma, hakuna lililofanya vizuri zaidi wajanja waliyazunguka na kuyafilsi rejea kwa Trc, atcl, tanescoWachache sana ndio watakaokuelewa,mfano mdogo mwendokasi tu wameshindwa kuuendesha kiufanisi na kila siku wanalalamika hasara ndio itakua bandari waliyoishindwa miaka yote,uendeshwaji wa ile bandari yetu ni kituko cha dunia kwa wakati tuliokua nao
hata zenji kuna bandari, akauze kwaohizi bandari tangu Uhuru Hadi Sasa , tumezoea kusikia upigani wa kufuru unaofanywa/uliokuwa ukifanywa na ma boss plus wafanya biashara wakubwa. aise just imagine ofisa wa kawaida tu , anaweza kwa siku akatengeneza hata 10 mil per day, Sasa huyo ni mmoja , acha Sasa wale ma done , tra.
rafiki yangu mmoja , yeye Yuko madini , Sasa miaka ya 2013 ,waliwahi kutengeneza mchongo wa 20mil, ndani ya dk 45 hivi , pale pale bandarini kwa ujanja ujanja tu. kiufupi ile bandari ilikuwa ni mradi wa watu , kujipatia utajiri fast fast.
NI heri tumpe mwarabu asimamie huenda tutapata faida . Isipokuwa vifungu tatanishi vya mkataba viangaliwe kwa kina na kurekebisha .
Hakuna mkuu ni wa mileleMkuu unaweza kuweka ushahidi kama ni uwekezaji wa miaka 100?
Akili za hovyo kabisa hizi, kwa hiyo furaha yako uwape wageni wakuendeshee mambo yako wewe uendelee na story za pwagu na pwaguzi kwenye kijiwe cha kahawa.
Kama mnataka kubinafsisha kwa nini msiwambie watanzania wenyewe waunde makampuni waiendesha, au ndo ule jenerali Ulimwengu aliuita ugenishaji.