Naunga mkono uamuzi wa Donald Trump kuondoa misaada kwa nchi za Afrika


Trump anafanya vyema, hii itasaidia sana kuwafanya waAfrika wengi(hususani Watu weusi) kuanza kuwa na akili nzuri ya kuweza kujitegemea wao wenyewe.
Hata Watawala waliopo watakuwa na Heshima na nidhamu ya hali ya juu kabisa katika Matumizi ya Fedha za Kodi za Wananchi.
Siyo siri hata kidogo,Watawala karibia wote kabisa wa nchi za Afrika hawana kabisa nidhamu nzuri ya hali ya juu katika Matumizi ya Fedha za Kodi za Wananchi waliopo katika nchi zao. Watawala wengi sana ni Wezi, Mafisadi, Wafujaji Sana wa Fedha za Kodi, n.k.
Tazama msafara huu wa Kiongozi huyu wa nchi fulani hapa Afrika kisha jiulize:- Je, ni gharama kubwa kiasi gani ilitumika kwenye msafara huu wa anasa? Je, kuna ULAZIMA wowote ule wa kuwa na misafafara kama hii kwenye nchi hiyo ambayo Bajeti yake ya kila Mwaka hutegemea Misaada kutoka Marekani na washirika wake? Je, Wananchi wa kawaida waliopo katika nchi hiyo wanaweza kupata faida gani hasa kutokana na misafafara yenye misururu mirefu ya magari kama huu?

Tafakari, Chukua Hatua!
 

Attachments

  • 5771391-6b7300c48c43013b94b420cc6e416c60.mp4
    8.3 MB
Aliyeturoga alisha kufa.... Sasa hivi maisha ya uchawa na kuuza utu kwa kujipendekeza ndio imekuwa fashion. Akili zimedumaa kabisa.... Hata aibu hatuoni
 
Je, vipi ni sahihi kumchangia kununua gari mtu ambaye ni Wakili maarufu (sio mahiri), Mwenyekiti wa Chama Cha Upinzani na ambaye familia yake inaishi Ulaya?
 
Umenena ukweli mtupu
 
Kakata misaada kote sio Africa tu.
 
Naunga m Naunga mkono hoja, ktk tembetembea yangu kuna nchi nilifika, mangali mengi niliyokutana nayo yenye chapa ya USAID ni magali yenye gharama kubwa sana. Nikaona watu wanainjoi sana na kutapanya pesa za misaada
 
Naunga m Naunga mkono hoja, ktk tembetembea yangu kuna nchi nilifika, mangali mengi niliyokutana nayo yenye chapa ya USAID ni magali yenye gharama kubwa sana. Nikaona watu wanainjoi sana na kutapanya pesa za misaada
 
Kiongozi wa Third World country anaishi maisha ya kifahari kumzidi kiongozi wa first world country hakika nchi zetu zimekosa vipaumbele
 
Pesa zingeenda kwenye maeneo sahihi Kuna vilio vingi vingezikwa miaka zaidi ya 45 iliyopita.
 
Trump alichelewa sana kuchukua huu uamuzi.
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸΌπŸΌ

kama team Lissu tulikuwa makini sana na wapi tunataka kuipeleka nchi hii pamoja na kubadilisha uwanja wa Siasa.

Miaka 20 na hakuna la maana Mh. FAM amefanya.
Amepwaya, na nashauri hata ule ujumbe wa kudumu usitishwe mara moja. Hastahili heshima hiyo wakati ameshusha Heshima ya Chama.

Kuhusu wazungu:

Kama makutano ya Mbowe na Wazungu, kabla ya chaguzi za hivi karibuni ndio yangekuwa ni kura, tusingekuwa hapa tulipo yani kupata 0.003 za kura zote ni aibu sana sio kwa chama bali hata cc Wanachama wake.

Wazungu sio watu wa kuwaamini hata kidogo, ndio watoa rushwa namba moja duniani, ndio makatili namba moja duniani, ndio wezi wa Rasilimali za Africa Duniani na hakuna atakaye weza kubisha. Mbowe aliwaamini hawa, ona wapi walipomfikisha?

Kuhusu mleta mada

Huyu bwana nimekuwa nikimsoma kwa mda sasa, sijawahi kuona hata siku moja akisema, akiomba Waafrica wapewe baraka sio ivo tu hata Watanzania. Yeye ni Wazungu tu. Halafu anajibaraguza kama Mtanzania na Mwafrika. anajibaraguza kuwa ni mcha Mungu wakati anaoutaka yy na kwa kusudi ya kutupumbaza.Utupishe na cc CHADEMA hatuhitaji mchango wako. You are a persona non grata.
take note>

MUNGU HADHIHAKIWI hivyo.
 
Mimi nasherehekea afrika kunyimwa misaada
Walikuwa wanaitumia vibaya sana hiyo Misaada kwa kufanya Matumizi ya anasa, kufanya kufuru, ufujaji wa Fedha hizo, walikuwa wanaishi maisha ya gharama kubwa sana kuliko hata watoa Misaada wenyewe. All in all, imewalemaza kiakili kiasi kwamba hawawezi kabisa kujitambua na kujitegemea wao wenyewe
 
Ww unajitambua lakini braza mbona uko hivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…