Naunga mkono uamuzi wa Donald Trump kuondoa misaada kwa nchi za Afrika

Walikuwa wanaitumia vibaya sana hiyo Misaada kwa kufanya Matumizi ya anasa, kufanya kufuru, ufujaji wa Fedha
Trump amesema wizi, ukiritimba, rushwa ufujaji wa fedha na matumizi mabaya yalitokea Marekani.
Ww unatuchanganya hapa unadai anasa.
 
Waliotoa Fedha hizo wapo Marekani lakini Fedha hizo kwa kiasi kikubwa zaidi zilitumwa nje ya nchi hiyo ya Marekani na kisha kutolewa Kama Misaada kwa Watawala na Watu mbalimbali huko nje ya Marekani. Huko nje ya Marekani ndiko Fedha hizo zilitumika vibaya kwa Matumizi ya anasa na ufujaji mkubwa.
 
Niko vipi?
Ninafuja Fedha za Misaada kutoka Marekani au?
Unadanganya na kupotosha Umma, unachochea maasi n.k n.k Upo hivo.

TAarifa zilizopo ni kwamba

Wamarekani wenyewe ndio waliokuwa wanafuja hizo fedha. Na itoshe misaada hiyo ilikuwa kama rushwa tu. Wanakupa fedha wanakuambia utumie ujuavyo, ulitegemea nn? Ww unataka kuaminisha Umma ni kwa sababu ya Waafrica

Mbona Ukraine kasitisha hiyo misaada? Huko Marekani kwenyewe kasitisha misaada na sababu zake ni wizi rushwa na ufujaji wa pesa, lakini hayo hutaki Watanzania wayajue.

Ndii unafuja pesa za Wamarekani.
 
Waliotoa Fedha hizo wapo Marekani lakini Fedha hizo kwa kiasi kikubwa zaidi zilitumwa nje ya nchi hiyo ya Marekani na kisha kutolewa Kama Misaada kwa Watawala na Watu mbalimbali huko nje ya Marekani. Huko nje ya Marekani ndiko Fedha hizo zilitumika vibaya kwa Matumizi ya anasa na ufujaji mkubwa.
Nani alikuwa akinufaika? Walikuwa wakinunua mahindi huku? Walikuwa wakinunua michele huku? Kila kitu kilikuwa kinatoka Marekani, logistics zote zinafanywa na Wamarekani unabisha?
 
Unadanganya na kupotosha Umma, unachochea maasi n.k n.k Upo hivo.

TAarifa zilizopo ni kwamba

Wamarekani wenyewe ndio waliokuwa wanafuja hizo fedha. Na itoshe misaada hiyo ilikuwa kama rushwa tu. Wanakupa fedha wanakuambia utumie ujuavyo, ulitegemea nn? Ww unataka kuaminisha Umma ni kwa sababu ya Waafrica

Mbona Ukraine kasitisha hiyo misaada? Huko Marekani kwenyewe kasitisha misaada na sababu zake ni wizi rushwa na ufujaji wa pesa, lakini hayo hutaki Watanzania wayajue.

Ndii unafuja pesa za Wamarekani.
Maasi gani?

Kwani Marekani kufuta kutoa Misaada ndio uasi? Kutoa Msaada ni Kama sadaka, mtu ana hiyari ya kutoa au kutokutoa, hakuna Sheria ya kuweza kumlazimisha atoe msaada kwa nguvu.
 
Lissu anaweza kukulisha wewe na familia yako, kwa posho za uwakili tu.
Bado miradi yake.
Awe makini. Kama anao uwezo huo, na anataka achangiwe kununua gari, tutashindwa kumtofautisha na hawa walafi wa CCM.
 
Maasi gani?

Kwani Marekani kufuta kutoa Misaada ndio uasi?
sijasema hayo. Rudi usome ulichouliza na jibu nililokupa.
Kutoa Msaada ni Kama sadaka, mtu ana hiyari ya kutoa au kutokutoa, hakuna Sheria ya kuweza kumlazimisha atoe msaada kwa nguvu.
Agreed.

Na cc tunasema, wasitulazimishe kuchukua hiyo misaada na kutudhalilisha na hoja zao za ma dharau tuchukue. Najua utasema hatukulazmishwa, na ukisema hivyo uje na ushahidi kuwa hatukulazimishwa.
📌
 
Aliyeturoga alisha kufa.... Sasa hivi maisha ya uchawa na kuuza utu kwa kujipendekeza ndio imekuwa fashion. Akili zimedumaa kabisa.... Hata aibu hatuoni
Dah
 
sijasema hayo. Rudi usome ulichouliza na jibu nililokupa.

Agreed.

Na cc tunasema, wasitulazimishe kuchukua hiyo misaada na kutudhalilisha na hoja zao za ma dharau tuchukue. Najua utasema hatukulazmishwa, na ukisema hivyo uje na ushahidi kuwa hatukulazimishwa.
📌
Haya
 
Back
Top Bottom