Trump amesema wizi, ukiritimba, rushwa ufujaji wa fedha na matumizi mabaya yalitokea Marekani.Walikuwa wanaitumia vibaya sana hiyo Misaada kwa kufanya Matumizi ya anasa, kufanya kufuru, ufujaji wa Fedha
Waliotoa Fedha hizo wapo Marekani lakini Fedha hizo kwa kiasi kikubwa zaidi zilitumwa nje ya nchi hiyo ya Marekani na kisha kutolewa Kama Misaada kwa Watawala na Watu mbalimbali huko nje ya Marekani. Huko nje ya Marekani ndiko Fedha hizo zilitumika vibaya kwa Matumizi ya anasa na ufujaji mkubwa.Trump amesema wizi, ukiritimba, rushwa ufujaji wa fedha na matumizi mabaya yalitokea Marekani.
Ww unatuchanganya hapa unadai anasa.
Unadanganya na kupotosha Umma, unachochea maasi n.k n.k Upo hivo.Niko vipi?
Ninafuja Fedha za Misaada kutoka Marekani au?
Nani alikuwa akinufaika? Walikuwa wakinunua mahindi huku? Walikuwa wakinunua michele huku? Kila kitu kilikuwa kinatoka Marekani, logistics zote zinafanywa na Wamarekani unabisha?Waliotoa Fedha hizo wapo Marekani lakini Fedha hizo kwa kiasi kikubwa zaidi zilitumwa nje ya nchi hiyo ya Marekani na kisha kutolewa Kama Misaada kwa Watawala na Watu mbalimbali huko nje ya Marekani. Huko nje ya Marekani ndiko Fedha hizo zilitumika vibaya kwa Matumizi ya anasa na ufujaji mkubwa.
Maasi gani?Unadanganya na kupotosha Umma, unachochea maasi n.k n.k Upo hivo.
TAarifa zilizopo ni kwamba
Wamarekani wenyewe ndio waliokuwa wanafuja hizo fedha. Na itoshe misaada hiyo ilikuwa kama rushwa tu. Wanakupa fedha wanakuambia utumie ujuavyo, ulitegemea nn? Ww unataka kuaminisha Umma ni kwa sababu ya Waafrica
Mbona Ukraine kasitisha hiyo misaada? Huko Marekani kwenyewe kasitisha misaada na sababu zake ni wizi rushwa na ufujaji wa pesa, lakini hayo hutaki Watanzania wayajue.
Ndii unafuja pesa za Wamarekani.
Awe makini. Kama anao uwezo huo, na anataka achangiwe kununua gari, tutashindwa kumtofautisha na hawa walafi wa CCM.Lissu anaweza kukulisha wewe na familia yako, kwa posho za uwakili tu.
Bado miradi yake.
sijasema hayo. Rudi usome ulichouliza na jibu nililokupa.Maasi gani?
Kwani Marekani kufuta kutoa Misaada ndio uasi?
Agreed.Kutoa Msaada ni Kama sadaka, mtu ana hiyari ya kutoa au kutokutoa, hakuna Sheria ya kuweza kumlazimisha atoe msaada kwa nguvu.
DahAliyeturoga alisha kufa.... Sasa hivi maisha ya uchawa na kuuza utu kwa kujipendekeza ndio imekuwa fashion. Akili zimedumaa kabisa.... Hata aibu hatuoni
ππππNiko vipi?
Ninafuja Fedha za Misaada kutoka Marekani au?
Hayasijasema hayo. Rudi usome ulichouliza na jibu nililokupa.
Agreed.
Na cc tunasema, wasitulazimishe kuchukua hiyo misaada na kutudhalilisha na hoja zao za ma dharau tuchukue. Najua utasema hatukulazmishwa, na ukisema hivyo uje na ushahidi kuwa hatukulazimishwa.
π