Naungana na jamii ya kimataifa kutompa ushirikiano mheshimiwa Uhuru Kenyatta

Mbona unaandika na kujikana wewe mwenyewe, unasema huamini kama kwli Wakenya ndio wamemchagua Bw.Uhuru Kenyata hapo hapo unasema Wakenya mtashangilia leo ila kazi mnayo, sasa kama hawakumchagua kwa nini tena washangilie?


hahahaah
 
Katika Afrika ni nchi mbili tu zenye mfumo wa vyama vingi ambazo aliyeshindwa anakubali matokeo i.e Ghana na Zambia.

Hao waliobaki wote ni walafi tu wakishindwa visingizio kibao na vurugu zisizokwisha.
 
Tuweke ushabiki pembeni na tuangalie uhalisia Yale mauaji ambayo yalitokea 2007/2008 Mungiki ambao ni kabira moja na Mheshimiwa Rais wa Kenya waliua sana watu, hilo halina ubishi na uchunguzi ulio fanyika unamhusisha Kenyatta na lile kundi kua yupo nyuma yao!! Na juzi kama wiki mbili zimepita Jaji mkuu wakenya alipokea barua ya vitisho kutoka kwa mungiki ikimuonya kua kama Hakumruhusu Uhuru kugombea urais watatengansha kichwa na mabega!!Kama mpenda amani unaona huyu mtu anafaa kwa urais??
 

swali ambalo najiuliza immunite ambayo wataipata kama raisi na makamu wake itawasaidia icc?na je wakipatikana na hatia icc itakuwaje?
Kwenye press confrence ya odinga amejaribu kuainisha mapungufu ya tume ya uchaguzi na watafanya pertition kama mahakama itakuwa huru more 2 come
 
Wa kenya wameamua kumchagua Uhuru sasa maneno ya nini!
Baadhi ya wa bongo mmelogwa?
 
Hivi Tiba allegations za ICC za Uhuru na Mathaura ni za uongo? unajua mikutano mingine ilifanyika ikulu? nini ilikuwa conspiracy ya Uhuru kutogombea uraisi na Kibaki that year? and why now Kibaki akiwa anatoka?
na Kuna Comment ambayo Marehemu Kivuita alisema , kwamba hajui matokeo hayo ya 2007 atayatangazia kwenye Naval Ship? Maana waliokuwa wayaone mambo yana elekea waliyaona. na ukienda hatua mbele utajiuliza kwanini wamefanyamabadiliko ya katiba na judicial reform and appointments? ni kwa sababu kulikuwa na ulakini umbao una mfavour aliye madarakani.
Na Juzi juzi tu hapa una kumbuka kwamba CJ wao alizuiwa kusafiri kuja Bongo na order ya Head of Civil Service? halafu akapigiwa simu ya kuombwa radhi na mkuu wa ujasusi wao? ambao wote ni system moja?
 
Ni kweli kama ataapishwa kuwa raisi wa kenya,ni dhahiri obama nina mashaka kama atahudhuria sherehe za kuapishwa kwake,ICC pia wanaweza kuwatia hatiani jambo litakalo sababisha wasisafiri nje ya kenya yangu macho.
 

Mkuu, kama unakubali kwamba mikutano ilifanyika ikulu, ni kwanini mwenye ikulu kwa maana ya Kibaki hakushtakiwa ICC na that is where my point is. Kwanini ashtakiwe Uhuru wakati mipango ilikuwa inafanyika Ikulu kwa Kibaki?

Tiba
 

Swala la kupigiwa kura siyo shida na walio mpigia ni wakikuyu na ndugu zake ruto na ukizingatia wakikuyu ni wengi zaidi ya wajaluo kwa hyo kupata hizo kura ilikuwa ni sawa
 

Nimeipenda sana hii.
 
Naamini odinga angeshika nchi angepunguza au kutokomeza ukabila kabisa,ila kwa sasa naona ndio unaelekea kuota mizizi.
 
Wewe achana na kenya fikiria tz yenye bandari tatu sijui nne ila bado tunategemea bandari ya mombasa
 
Vifurambwete wengine hata mpambe wa mpambe wa Uhuru hawamjui, lakini kujitutumua ushuzi tu.

Wewe ni nani mpaka Uhuru ahitaji ushirikiano wako? .....
Kiranga acha dharau....je. kama huyu ndiye kiongozi mtarajiwa Benki ya Dunia au ua shirika la fedha duaniani au pengine mkuu wa chombo chochote chenye mashiko duniani kinachoweza kuvuruga mipango ya Kenya?

Kuwa makini na kauli zako.
 
Last edited by a moderator:
Waache tuwazidi kiuchumi we vipi.... We uoni sisi sasa hivi rwanda inatutoa kwa sababu ya akili mbovu za baadhi ya watz kumchagua Kikwete na serikali yake
 
Jumuia ya kimataifa na hasa wazungu wanavyoliangalia hili suala la ICC ni tofauti ya Wakenya wanavyoliangalia, la sivyo Uhuru asingepigiwa kura zaidi ya millioni 6 na Wakenya.

Tiba

Chifu Tiba naomba nikuulize swali moja tu: hivi ni nani aliyefungua kesi pale the Hague na Uhuru na Ruto kuwa miongoni mwa washtakiwa?
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe uliyemchagua Kikwete anayekubalika na wamarekani na waingereza umefaidika nini?

Binafsi nimependa wakenya walivyoamua kumchagua Uhuru na kumpiga chini Odinga anayeonekana wazi wazi kuwa ni kibaraka wa wamarekani na uingereza.

Hangaika na ya kwako ndugu, hata usipompa ushirikiano Uhuru Kenyatta kwani atapungukiwa na nini?
 

Katika kitu ulichonisikitisha ni uyu mleta uzi anavyoonekana kuwa bado ni maskini wa fikra huru na kujawa na kutawaliwa na wazungu.
Wakenya wamechagua mtu wanayemjua kwa muda mrefu kuliko hao wamarekani wako na wewe.Wao wamejikomboa kutoka kwa awa washenzi wazungu wanaotuchguliaga maraisi wa kututawala.Kwani nani kwakwambia ukiwa unapendwa na marekani ndo uchumi wako utakuwa mzuri?Nchi yako mbona inajikomba kila siku bado ziki na hali mbaya ya uchumi afya na kilimo vimebaki kuwa katika hali mbaya kuliko hata enzi ya baba wa taifa.Si bora Kenya waliojichagulia mtu wao wenyewe kiliko yule kibraka aliyetaka kuwekwa na USA.
kwanza we unajua yale mashtaka yalianzushwa kwa nia gani.Kuwa mwelevu acha uji.....nga
 
Mimi sijaelewa ulichotaka kuwakilisha,ingawaje ninaona kama umewakilisha kitu cha muhimu sana....Ningefurahi kama ungeweza kutoa tafsiri ya terms ulizotumia ambazo wewe unazijua kabisa kwamba wengine wengi humu hatujui nini maana yake...hegemony,nihilist na neno zingine zote hizo.Asante sana kwa kunielewa
 
Kiranga acha dharau....je. kama huyu ndiye kiongozi mtarajiwa Benki ya Dunia au ua shirika la fedha duaniani au pengine mkuu wa chombo chochote chenye mashiko duniani kinachoweza kuvuruga mipango ya Kenya?

Kuwa makini na kauli zako.

Kati yangu mimi na huyu anaye m dismiss mtu aliyechaguliwa na majority ya Wakenya, nani ana dharau zaidi? Yeye kamdharau si Uhuru Kenyatta tu, bali na mamilioni ya Wakenya waliomchagua.

Kiongozi "mtarajiwa" ndio kitu gani? Basi aseme hivyo katika capacity yake hiyo ya "kiongozi mtarajiwa". Whatever the heck that is.

Uhuru Kenyatta, just like in "Survivor". The tribes have spoken.

Uhuru crossed the Rubicon and conquered Kenya.

Jupiter Optimus Maximus.

Raila's scourge.

Bow and salute, for peace's sake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…