Naungana na jamii ya kimataifa kutompa ushirikiano mheshimiwa Uhuru Kenyatta

Naungana na jamii ya kimataifa kutompa ushirikiano mheshimiwa Uhuru Kenyatta

If the kenyans themselves have decided their fate who are we to stop them? If they chose Uhuru and Ruto despite the two being indicted in the Hague for criminal against humanity, why should we blame them. I think the kenyans had freedom to choose good or evil, if they decided to choose the later, let them be. Whatever consequences the two principals will face, it will be upon them and the kenyans. If the kenyans are not complaining why we tanzanians should complain about the decisions made by our neighbours?
 
kwanza hakuna tofauti ya raila na kenyata.kwa ukabila wote wapo?kwa ufisadi wote mafisadi wanatafuna baba zao walivyojilimbikizia na wenyewe walivyoibia wakenya.kampuni ya gesi na viwanda vya raila asilimia 90 kaajiri wajaluo.yupo kama babake hapendi muungano walitaka kisumu ijitenge wajitawale wenyewe.pia wanajiona wao ndo wanatakiwa kuwa watawala.akiungana na vyama haichukui muda anavuruga akijua wajaluo watamchagua.huyu hana tofauti na mapesa cheyo.hongera uhuru ongoza wakenya.ila wajaluo mko juu mnaongoza USA ila kwa kuongoza kenya msahau labda mchanganye damu na wakikuyu
 
"Tiba" ndo jamaa aliamua kuwa ajiri mungiki sio? Na huko ICC anatuhumiwa kwa kuwa alikuwa musa wa wakikuyu? Dah!
Kumbe ni ukabila tu unakusumbua basi waLUO subirini sana mwambieni Odinga ajaribu tena 2017 Obama atakuwepo katika kupiga Kura
 
Back
Top Bottom