Usamehewe kwa kuwa hujui usemalo. Ukipata nafasi ya kuzungumza na Wakikuyu ambao walikuwa wanachinjwa kama kuku kwenye zile vurugu za baada ya uchaguzi wa 2007, watakwambia kuwa Uhuru ni Mungu wao wa pili kwani bila kuingilia kati, wangeendelea kuchinjwa zaidi. Kwa wakikuyu Uhuru ni kama Musa aliyetumwa na Mungu kuwakomboa kutoka kwenye upanga wa Wajaluo. Siasa za Kenya ni ngumu kidogo.
Tiba
Acha kuongea kama unaongea kwa kutumia masaburi,ndio maana nawambia Watanzania ongelea upuuzi wa nchi yako acha kuongea usichokijua kwa kujidai unajua wakati haujui lolote,ni mjaluo gani alihusika katika mauaji yaliyotokea Kenya? Mauaji yalitokea kwa kiasi kikubwa mikoa ya Central Kenya walichinjana wenyewe unasemaje kwamba walikuwa ni wajaluo ndio walikuwa wakiwachinja wengine? Acha uzezeta kuongea usichokijua bro uongo hauna mshahara,kati ya watu sijui saba waliopelekwa ICC nani kati yao ni mjaluo pale?
Uongo wa vijiweni ndio mnaleta humu jf acheni ndio maana mnaandika viingereza vibovu kwenye tweete kwa kujidai wajuaji waachieni wakenya mambo yao na nyie bakini na ya tanzania
Uliongea na wakikuyu gani wakakueleza haya uliyoyaandika humu? Acha kutoka povu mdomoni kuandika stori za vijiweni