Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

Sio rahisi kila mtu kubaki na mtazamo wake kwa sababu dini hasa hizi mbili kubwa wanatumia ushawishi watu waamnini kama wanavyoa amini wao , wahindi wayahudi na budha wala hawana mpango wa kushawishi mtu .
Ajabu hao wasio na dini wahindi wanashikana na kuheshimiana...hapa hapa dar es salaam wahindi wanayo migahawa kwaajili ya wahindi wenzao wasio jiweza kwenda kujichukulia chakula free kabisa...Kuna kanisa lao Moja niliwahi kuingia ndani walikuwa Wana desturi ya kugawa chakula free daily kwa wahindi wenzao...! Wahindi mafukara wapo ila huwezi kuwakuta mitaani wanadhurula...! Naizungumzia bongo land
 
Hizi dini wala hawanaga mpango wa kusambaza wala kutawaka watu wengine waamini kama wanavyo amini wao🤔
 
Pole ndugu kwanza ujue Mungu si mtu kama Mimi na wewe.Mungu ni Roho.Yohana 6.44 Yesu anasema Hakuna mtu awezaye kwenda kwake asipovutwa na Mungu aliyempeleka. Kwa hiyo si swala la kuangalia nani kafanya nini.Ni juu ya roho yako kuamini iko Roho kubwa iliyokuumba.
 
Ni mjinga pekee anayeweza kusema Gari limejitengeneza lenyewe
Ukiona mtu ujue yupo muumba.
Au hiyo mizimu imewahi kukuambia imekuumba


Alaf usitumie mifano ya wahuni wachache wanaojiita wachungaji kugeneralize Mambo
Wachungaji wa kweli wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…