Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
ππHeshima yako inakuja pale tu utakapo itambua thamani yako,na utakapotambua kua haya ni maisha yako,
Dunia ilikuwepo na itakuwepo baada yako,ishi maisha yako,be yourself,thamini anayekuthamini,acha shobo na kuona wengine ni wa maana au wana umuhimu zaidi yako!
Be yourself,Usimp ni ubabu jinga au Uzoba,
Love the life u live
Live the life u love.
Exactly π―Heshima yako inakuja pale tu utakapo itambua thamani yako,na utakapotambua kua haya ni maisha yako,
Dunia ilikuwepo na itakuwepo baada yako,ishi maisha yako,be yourself,thamini anayekuthamini,acha shobo na kuona wengine ni wa maana au wana umuhimu zaidi yako!
Be yourself,Usimp ni ubabu jinga au Uzoba,
Love the life u live
Live the life u love.
Okay chukulia kwamba sisi hatufai kuzungumzia mapenzi kwasababu unaamini hivyo,it's okay ni maoni yakoUmri wenu wa miaka 40+ mnabidi kuutumia kujadili retirement , investments and etc
Inasikitisha mnapokuwa mnajadili mada za mapenzi this is waste of time and energy kuna umri ukifika jaribu kukua.
View attachment 3452534
Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake.
Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp
Here we go.......
Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume) anayejidhalilisha au kupoteza heshima yake ili kumfurahisha mtu mwingine (hasa kimapenzi), hata kama hauthaminiwi au hurudishiwi upendo huo.
Hapo kwa uchache tumejua tunamaanisha nini tukisema usimp,sasa karibia wanaume wote katika maisha yetu tumepitia usimp ikiwemo wewe msomaji wangu,kama unabisha nyosha kidole nikuone
Kinachokuwa Kibaya ni kuendelea kuwa simp hadi wakati ambao wadau wanakusanua kwamba home boy badilika maisha hayatakiwi kuwa hivyo
Mfano unatuma meseji kwa mwanamke kabla hajajibu wewe tayar unatuma nyingine huko ni kujishushia thamani yako
Kuna uzi niliandika sheria tatu za kutumiana meseji
Sheria tatu za kutumiana Meseji
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...www.jamiiforums.com
Lakini mwanaume ambaye anajielewa inatakiwa ukituma text kama haijajibiwa basi subir mpaka ijibiwe,na akijibu kesho wewe unajibu kesho kutwa,hii unamuonyesha demu kwamba hata wewe una mambo yako ya kufanya
Ifahamike kwamba hatukatazi au hatupingi kuwa romantic kwa mwenza wako,ila je huyo mwenza wako anatambua thamani yako,je naye anarudisha mrejesho japo kwa asilimilia chache
Je anaonyesha shukrani kwa jitihada unazo zifanya kwake,je ana kuappreciate?
Tunachopinga ni mwanaume kujitoa kwa mwanamke na hali huyo mwanamke haonyeshi ushirikiano wowote kwako
Na kibaya zaidi unafanya jitihada kubwa kumshawishi akupende lakini yeye Hana time kabisa na wewe
Ukiwa simp unadhani kwamba kumpa mwanamke hela ndio atakupenda zaidi,matokeo yake ukipata mrejesho ambao sio sahihi basi utaamua kuzidi kumpump na mahela huyo mwanamke ili umshawishi akupende
Kinyume chake unaonekana wiki mbele ya mwanamke,we jiulize kwanini mademu wanawapenda sana wahuni au Masela na sio nice guys
Kwasababu wahuni ila sio wale wa mboga mboga ambao wanatukandamiza,hapa naongelea wahuni ambao sio wanasiasa hawa ni wale watu ambao wanaishi na misimamo yao na wanaoshi maisha yao,hawana drama,hawa huonyesha tabia za kiume,Wana mamlaka juu ya mwanamke na huwezi kuwakuta wanalialia hovyo
Hawa huwezi kuwakuta wanapiga goti na kumwambia mwanamke " Will you marry me "
Maana kupiga magoti tayar ni usimp,unashusha thamani yako halafu unapandisha yake,yaani unaonekana kana kwamba wewe ndio unataka sana ndoa kuliko yeye,au yeye ndio muhimu sana kuliko wewe
Home boys hata nyie ni wenye thamani ila hamjijui tu, Lau mngejua thamani yenu basi msingekuwa masimp
Anyway hii kampeni itaendelea mpaka asilimia kubwa ya home boys wa jf waingie mwaka 2026 wakiwa masimp free
Ni hayo tu!
U know what bro?Shida ni umasikini , most people thinks like a poor Man .
Ukiona MTU anazungumzia mapenzi 24/7 ujue either hajitambui au hajui nini anabidi Ku-accomplish in his or her life.
Okay Ila kwa style hii nyie wajinga ndo mnataka Lissu awapambanie ?Okay chukulia kwamba sisi hatufai kuzungumzia mapenzi kwasababu unaamini hivyo,it's okay ni maoni yako
Tunaokoa wenetu na wadogo zetu,je kuna shida?
Sahihi mkuuHeshima yako inakuja pale tu utakapo itambua thamani yako,na utakapotambua kua haya ni maisha yako,this is your time,
Dunia ilikuwepo na itaendelea kuwepo baada yako,
Ishi maisha yako,be yourself,thamini anayekuthamini,acha shobo na kuona watu wengine ni wa maana au wana umuhimu zaidi yako!
Be yourself,Usimp ni ubabu jinga au Uzoba,
Love the life u live
Live the life u love.
Mwisho wa siku hata Lissu akitoka ataenda kujibebisha kwa masamp wakeOkay Ila kwa style hii nyie wajinga ndo mnataka Lissu awapambanie ?
Age yako 40+ you have to talk about business , investments n.k .Mwisho wa siku hata Lissu alitoka ataenda kujibebisha kwa masamp wake
Hatuwezi kuyakwepa mapenzi ila tunatakiwa mapenzi yasishushe thamani yetu na utu wetu
Evelyn Salt , VAR check HannahShida ni umasikini , most people thinks like a poor Man .
Ukiona MTU anazungumzia mapenzi 24/7 ujue either hajitambui au hajui nini anabidi Ku-accomplish in his or her life.
Evelyn Salt una kumbuka huyu alidai yeye ni mtu mzito, ?π€£π€£π€£ VAR inahusika pakubwaAge yako 40+ you have to talk about business , investments n.k .
Kitu gani haukijui katika mapenzi?.
Mimi sio MTU mzito Mimi ni jobless na chawaEvelyn Salt una kumbuka huyu alidai yeye ni mtu mzito, ?π€£π€£π€£ VAR inahusika pakubwa
Wewe umeshajaa kwenye mfumo wa VAR utatueleza wewe ni mtu mkubwa kivip?Mimi sio MTU mzito Mimi ni jobless na chawa
Karibu
Are you a simp?Age yako 40+ you have to talk about business , investments n.k .
Kitu gani haukijui katika mapenzi?.
Dokta anahangaika kulipa kisasiππ. Na hilo li ID lake lingine hapo.Evelyn Salt , VAR check Hannah
πππππEvelyn Salt una kumbuka huyu alidai yeye ni mtu mzito, ?π€£π€£π€£ VAR inahusika pakubwa