Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Huku unadis mapenzi mara vuup unapiga uturn unaulizia chimbo la kupata mbunye. 😂Evelyn Salt , VAR check Hannah

Visasi aachiwe jk tu 😂😂😂 wengine wote tupendaneDokta anahangaika kulipa kisasi😀😀. Na hilo li ID lake lingine hapo.
Kijana anatuona wakuja😅😅😁😁😁😁😁
Huku yupo chadema kule October wanatiki😅😅😅 kijana anatuona fala kwelHuku unadis mapenzi mara vuup unapiga uturn unaulizia chimbo la kupata mbunye. 😂
Ongeeeni andikeniii.....sisi tupooo yani tupo sanaaa na mtatupenda tu, kwa hiyari au kwa lazma.U know what bro?
Mapenzi ndio maisha yenyewe,kuwa maskini utayahitaji na kuwa tajir utayahitaji
Tusijifiche kwenye hoja dhaifu kama hizo
Weee mumnange vile awaache salama? 🤣🤣🤣🤣Visasi aachiwe jk tu 😂😂😂 wengine wote tupendane
Huko octoba wanatiki kabadili gia juzi tu. Ilikuwaga ni chadema mwanzo ukiona comments zake. Juzi baada ya vitasa ili tusimshtukie ndio akabadili anatick octoba ili tusijue ni yeye🤣🤣🤣.Huku yupo chadema kule October wanatiki😅😅😅 kijana anatuona fala kwel
View attachment 3452534
Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake.
Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp
Here we go.......
Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume) anayejidhalilisha au kupoteza heshima yake ili kumfurahisha mtu mwingine (hasa kimapenzi), hata kama hauthaminiwi au hurudishiwi upendo huo.
Hapo kwa uchache tumejua tunamaanisha nini tukisema usimp,sasa karibia wanaume wote katika maisha yetu tumepitia usimp ikiwemo wewe msomaji wangu,kama unabisha nyosha kidole nikuone
Kinachokuwa Kibaya ni kuendelea kuwa simp hadi wakati ambao wadau wanakusanua kwamba home boy badilika maisha hayatakiwi kuwa hivyo
Mfano unatuma meseji kwa mwanamke kabla hajajibu wewe tayar unatuma nyingine huko ni kujishushia thamani yako
Kuna uzi niliandika sheria tatu za kutumiana meseji
![]()
Sheria tatu za kutumiana Meseji
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...www.jamiiforums.com
Lakini mwanaume ambaye anajielewa inatakiwa ukituma text kama haijajibiwa basi subir mpaka ijibiwe,na akijibu kesho wewe unajibu kesho kutwa,hii unamuonyesha demu kwamba hata wewe una mambo yako ya kufanya
Ifahamike kwamba hatukatazi au hatupingi kuwa romantic kwa mwenza wako,ila je huyo mwenza wako anatambua thamani yako,je naye anarudisha mrejesho japo kwa asilimilia chache
Je anaonyesha shukrani kwa jitihada unazo zifanya kwake,je ana kuappreciate?
Tunachopinga ni mwanaume kujitoa kwa mwanamke na hali huyo mwanamke haonyeshi ushirikiano wowote kwako
Na kibaya zaidi unafanya jitihada kubwa kumshawishi akupende lakini yeye Hana time kabisa na wewe
Ukiwa simp unadhani kwamba kumpa mwanamke hela ndio atakupenda zaidi,matokeo yake ukipata mrejesho ambao sio sahihi basi utaamua kuzidi kumpump na mahela huyo mwanamke ili umshawishi akupende
Kinyume chake unaonekana wiki mbele ya mwanamke,we jiulize kwanini mademu wanawapenda sana wahuni au Masela na sio nice guys
Kwasababu wahuni ila sio wale wa mboga mboga ambao wanatukandamiza,hapa naongelea wahuni ambao sio wanasiasa hawa ni wale watu ambao wanaishi na misimamo yao na wanaoshi maisha yao,hawana drama,hawa huonyesha tabia za kiume,Wana mamlaka juu ya mwanamke na huwezi kuwakuta wanalialia hovyo
Hawa huwezi kuwakuta wanapiga goti na kumwambia mwanamke " Will you marry me "
Maana kupiga magoti tayar ni usimp,unashusha thamani yako halafu unapandisha yake,yaani unaonekana kana kwamba wewe ndio unataka sana ndoa kuliko yeye,au yeye ndio muhimu sana kuliko wewe
Home boys hata nyie ni wenye thamani ila hamjijui tu, Lau mngejua thamani yenu basi msingekuwa masimp
Anyway hii kampeni itaendelea mpaka asilimia kubwa ya home boys wa jf waingie mwaka 2026 wakiwa masimp free
Ni hayo tu!
Chupa ni ile ile , leo alkasusu kesho chai ya rangi.Huko octoba wanatiki kabadili gia juzi tu. Ilikuwaga ni chadema mwanzo ukiona comments zake. Juzi baada ya vitasa ili tusimshtukie ndio akabadili anatick octoba ili tusijue ni yeye🤣🤣🤣.
Usiku mwema Min-me
Anaulizia chimbo la kupata unyevu 😀😃Huku unadis mapenzi mara vuup unapiga uturn unaulizia chimbo la kupata mbunye. 😂
😀😃Chupa ni ile ile , leo alkasusu kesho chai ya rangi.
Kajamaa kana mikwara kwamba ni kamtu ka system na mikwara kibao , katuona sisi vishundu sana
Anatafuta kiki huyo mwanetu 😀 😃Kajamaa kana mikwara kwamba ni kamtu ka system na mikwara kibao , katuona sisi vishundu sana
😅Anatafuta kiki huyo mwanetu 😀 😃
Sijausoma uzi, ila naunga mkono kampeni.View attachment 3452534
Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake.
Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp
Here we go.......
Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume) anayejidhalilisha au kupoteza heshima yake ili kumfurahisha mtu mwingine (hasa kimapenzi), hata kama hauthaminiwi au hurudishiwi upendo huo.
Hapo kwa uchache tumejua tunamaanisha nini tukisema usimp,sasa karibia wanaume wote katika maisha yetu tumepitia usimp ikiwemo wewe msomaji wangu,kama unabisha nyosha kidole nikuone
Kinachokuwa Kibaya ni kuendelea kuwa simp hadi wakati ambao wadau wanakusanua kwamba home boy badilika maisha hayatakiwi kuwa hivyo
Mfano unatuma meseji kwa mwanamke kabla hajajibu wewe tayar unatuma nyingine huko ni kujishushia thamani yako
Kuna uzi niliandika sheria tatu za kutumiana meseji
![]()
Sheria tatu za kutumiana Meseji
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...www.jamiiforums.com
Lakini mwanaume ambaye anajielewa inatakiwa ukituma text kama haijajibiwa basi subir mpaka ijibiwe,na akijibu kesho wewe unajibu kesho kutwa,hii unamuonyesha demu kwamba hata wewe una mambo yako ya kufanya
Ifahamike kwamba hatukatazi au hatupingi kuwa romantic kwa mwenza wako,ila je huyo mwenza wako anatambua thamani yako,je naye anarudisha mrejesho japo kwa asilimilia chache
Je anaonyesha shukrani kwa jitihada unazo zifanya kwake,je ana kuappreciate?
Tunachopinga ni mwanaume kujitoa kwa mwanamke na hali huyo mwanamke haonyeshi ushirikiano wowote kwako
Na kibaya zaidi unafanya jitihada kubwa kumshawishi akupende lakini yeye Hana time kabisa na wewe
Ukiwa simp unadhani kwamba kumpa mwanamke hela ndio atakupenda zaidi,matokeo yake ukipata mrejesho ambao sio sahihi basi utaamua kuzidi kumpump na mahela huyo mwanamke ili umshawishi akupende
Kinyume chake unaonekana wiki mbele ya mwanamke,we jiulize kwanini mademu wanawapenda sana wahuni au Masela na sio nice guys
Kwasababu wahuni ila sio wale wa mboga mboga ambao wanatukandamiza,hapa naongelea wahuni ambao sio wanasiasa hawa ni wale watu ambao wanaishi na misimamo yao na wanaoshi maisha yao,hawana drama,hawa huonyesha tabia za kiume,Wana mamlaka juu ya mwanamke na huwezi kuwakuta wanalialia hovyo
Hawa huwezi kuwakuta wanapiga goti na kumwambia mwanamke " Will you marry me "
Maana kupiga magoti tayar ni usimp,unashusha thamani yako halafu unapandisha yake,yaani unaonekana kana kwamba wewe ndio unataka sana ndoa kuliko yeye,au yeye ndio muhimu sana kuliko wewe
Home boys hata nyie ni wenye thamani ila hamjijui tu, Lau mngejua thamani yenu basi msingekuwa masimp
Anyway hii kampeni itaendelea mpaka asilimia kubwa ya home boys wa jf waingie mwaka 2026 wakiwa masimp free
Ni hayo tu!
View attachment 3452534
Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake.
Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp
Here we go.......
Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume) anayejidhalilisha au kupoteza heshima yake ili kumfurahisha mtu mwingine (hasa kimapenzi), hata kama hauthaminiwi au hurudishiwi upendo huo.
Hapo kwa uchache tumejua tunamaanisha nini tukisema usimp,sasa karibia wanaume wote katika maisha yetu tumepitia usimp ikiwemo wewe msomaji wangu,kama unabisha nyosha kidole nikuone
Kinachokuwa Kibaya ni kuendelea kuwa simp hadi wakati ambao wadau wanakusanua kwamba home boy badilika maisha hayatakiwi kuwa hivyo
Mfano unatuma meseji kwa mwanamke kabla hajajibu wewe tayar unatuma nyingine huko ni kujishushia thamani yako
Kuna uzi niliandika sheria tatu za kutumiana meseji
![]()
Sheria tatu za kutumiana Meseji
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...www.jamiiforums.com
Lakini mwanaume ambaye anajielewa inatakiwa ukituma text kama haijajibiwa basi subir mpaka ijibiwe,na akijibu kesho wewe unajibu kesho kutwa,hii unamuonyesha demu kwamba hata wewe una mambo yako ya kufanya
Ifahamike kwamba hatukatazi au hatupingi kuwa romantic kwa mwenza wako,ila je huyo mwenza wako anatambua thamani yako,je naye anarudisha mrejesho japo kwa asilimilia chache
Je anaonyesha shukrani kwa jitihada unazo zifanya kwake,je ana kuappreciate?
Tunachopinga ni mwanaume kujitoa kwa mwanamke na hali huyo mwanamke haonyeshi ushirikiano wowote kwako
Na kibaya zaidi unafanya jitihada kubwa kumshawishi akupende lakini yeye Hana time kabisa na wewe
Ukiwa simp unadhani kwamba kumpa mwanamke hela ndio atakupenda zaidi,matokeo yake ukipata mrejesho ambao sio sahihi basi utaamua kuzidi kumpump na mahela huyo mwanamke ili umshawishi akupende
Kinyume chake unaonekana wiki mbele ya mwanamke,we jiulize kwanini mademu wanawapenda sana wahuni au Masela na sio nice guys
Kwasababu wahuni ila sio wale wa mboga mboga ambao wanatukandamiza,hapa naongelea wahuni ambao sio wanasiasa hawa ni wale watu ambao wanaishi na misimamo yao na wanaoshi maisha yao,hawana drama,hawa huonyesha tabia za kiume,Wana mamlaka juu ya mwanamke na huwezi kuwakuta wanalialia hovyo
Hawa huwezi kuwakuta wanapiga goti na kumwambia mwanamke " Will you marry me "
Maana kupiga magoti tayar ni usimp,unashusha thamani yako halafu unapandisha yake,yaani unaonekana kana kwamba wewe ndio unataka sana ndoa kuliko yeye,au yeye ndio muhimu sana kuliko wewe
Home boys hata nyie ni wenye thamani ila hamjijui tu, Lau mngejua thamani yenu basi msingekuwa masimp
Anyway hii kampeni itaendelea mpaka asilimia kubwa ya home boys wa jf waingie mwaka 2026 wakiwa masimp free
Ni hayo tu!
Hajui makachero wapo kazini,huyu hana pa kutokea kila kona anamulikwa na VARDokta anahangaika kulipa kisasi😀😀. Na hilo li ID lake lingine hapo.
Uko wapi afande fettyOngeeeni andikeniii.....sisi tupooo yani tupo sanaaa na mtatupenda tu, kwa hiyari au kwa lazma.
Naingia doria ntarudi